Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Ndugu huhitaji maneno meengi kutofautisha nyeupe na nyeusi.
Muda haupigwi ngumi kaka tusubiri tu.
 
JPM sio mkabila Ila anachukia baadhi ya makabila tena hadharani bila kuficha Hilo ndio tatizo lake
 
Mkuu Digiti Elfu, kwanza samahani kukujibia huku, kwa sababu ni kawaida yangu, nikipandusha baadhi ya mada, huwa sichangii lolote wala kujibu hoja yoyote zaidi ya kutoa likes tuu, lakini objectivity ya mchango wako, umenigusa.

Mimi sio mkabila, na Wasukuma sio wakabila na hawajawahi kuwa wakabila, kwa vile Tanzania tumeisha ongozwa na marais wa makabila matano tofauti, na kila kabila lina strenghs zake na weaknesses zake, kuna ubaya kusifia strenghts za kabila fulani kama uchapakazi bila kuonekana mkabila?.

Tumepata rais chapa ng'ombe anapiga kazi kama maksai, mtu hadi analala na mafaili chumbani, kuna ubaya kumsifia bila kuonekana mkabila?.
P
Tatizo sio ukabila unaofanywa na wasukuma kama wao bali ukabila unawekwa mbele na Chama cha Mapinduzi ili kuwalaghai watu wa Ukanda huo kwa lengo la kupata kura.
Wasukuma akimpenda mtu yeyote abakua kama ndugu yake.
Hii nchi inaharibiwa na CCM ni lazima hili tulisema sana bila kumzungumzia mtu mmoja. CCM ina mbinu nyingi za kufanya siasa chafu ili tu wapate wabunge wengi na madiwani wengi na kisha kushika dola ambapo kuna teuzi kwa maelfu zenye maslahi manono.

Uchaguzi wa 2015 nilibahatika kufika maeneo Fulani ukanda huo.
Kuna watu walikua wamerikodi CD kwa lugha ya Kisukuma zilizokua zinaeleza kuwa wasimchague Lowasa mana ni Mmasai ,akishinda uchaguzi wasukuma watanyanganywa ngombe zao zote na kupewa Wamasai.
Ikumbukwe kuwa Kabla ya uchaguzi huo ngome kubwa ya Lowasa na Vyama vya upinzani ilikua kanda ya Ziwa.

Nadhani hata Mwalimu Baada ya kustafu aliweka wazi kuwa watu hawazungumzii tena utaifa wanatajana kwa ukabila kama vile wanataka kutambika.
Yule ni mchapa kazi kwa sababu ni kabila Fulani.
Yule ni dhaifu kwa sababu ni kabila fulani n.k.

Ingekua sifa ya Mh.Rais aliyepo ya uchapa kazi inatosha nadhani bado tungekua tunakazi ya ziada.
Mkapa alikua anaandika mpaka makala kwenye Magazeti na Vitabu na bulletins mbalimbali na kuhudhuria makongamano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Yote ilikua ni kuchapa kazi.

Nimekupa mfano tu wa Mafisadi wakubwa tangu Uhuru waliowekwe kwenye Serikali kwa wingi sana wengine wakiwa mawaziri wa Sheria ,wengine ,madini,wengi ,maliasili,wengine wakuu wa taasisi nyeti kabisa lakini waliendekeza Ufisadi na kujilimbikizia Mali.

Fuatilia kwenye sekta nyingine na vyombo mwalimbali vikubwa utagundua kuwa wapo hao wachapa kazi lakini wamejilimbikizia Mali kupitia ofisi wanazokabidhiwa.
Wengi hawana biashara wala makampuni mpaka pale wanapopewa kuongoza ofisi za umma ndio ghafla wanakua mabilionea.

Fanya utafiti zaidi mkuu.

Hakuna mwema ila Mungu.

Pia Tunataka wapatikane Mawaziri Kama Askari wa miavuli na wawe wabunifu, waadilifu wasioendekeza maslahi yao binafsi bila kujali makabila.
Upande wa fedha ,Viwanda na biashara wanatakiwa Mawaziri wenye kujua namna ya kuweka Sh.1000/- izalishe 1500/-.
 
Binafsi namuomba Mwenyez Mungu atupe maarifa watz tuweze kuondokana na JPM na ikiwezekana iwe ni marufuku kwa msukuma yeyote kugombea urais. Wasukuma ni washamba Limbukeni sana. Lakini pia watu hawa hawashauriki na hawajiamini kabisa.
Ujumbe tumeupokea.
P
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.

Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.

Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali

Kaka ungesema nusu Msukuma nusu MKV(mkirua Vunjo)
 
Na wewe na yule mbeba maboksi wa US mnajitahidi kuficha ukabila lakini ni wakabila sana

Ok, vipi wewe ni mkabila au sio mkabila? Kabila yangu ni lipi? Wapi nimeonesha ukabila?

Petty stuffs i will leave you to it.I am beyond, above such nonsense.

Kuwasadia Maskini, akina mama hata jina silijui, ametoa 5 millioni, majeruhi ni laki tano ukabila kila mtu.qqq. Rais gani alifanya hivyo? Kuuliza maswali, kusikiliza matatizo ta maskini, kutatua migogoro hapo hapo. Kuwachangisha watu. Kujenga shule, hospitali, barabara ni ushamba

Tumtoe madarakani, tukuweke wewe utaisadia Tanzania zaidi. Mnatuita nafikiri mazuzu , mazazwa., washamnba, limbukeni. Tukitoa support kwa hii serikali. Poa.

,
 
Petty stuffs i will leave to you. I am beyond, above such nonsense.

Kuwasadia Maskini, akina mama hata jina silijui, ametoa 5 millioni, majeruhi ni laki tano ukabila. Rais gani alifanya hivyo? Kuuliza maswali, kusikiliza matatizo ta maskini, kutatua migogoro hapo hapo.

Tumtoe madarakan, tukuweke wewe utaisadia Tanzania zaidi. Mnatuita nafikiri mazuzu , mazazwa., washamnba, limbukeni. Tukitoa support kwa hii serikali. Poa.

,
Kwanza tutambue kuwa wasukuma ni 30% ya watanzania wote.

Je Kabla ya Magufuli population hiyo iliakisi katika kila nyanja au sekta serikalini? Je tukienda jeshini Leo, polisi, magereza, hospital, wizarani, serikali kuu, bungeni, nk tutakuta 30% ya wasukuma?

Toka Uhuru hapakuwahi kuwa na Rais, makamu wa Rais, waziri mkuu, wala spika, wala mkuu wa majeshi, wala kamishna ya magereza, wala mkurugenzi wa usalama wa Taifa.

Kwa mantiki hiyo, Rais kaja kujaribu kuweka mazingira sawia ili kuondokana ubaguzi uliokuwepo. Wale ambao walikuwa hawajazoea wametafsiri kama ubaguzi.

Ilikuwa ngumu kusikia msukuma kateuliwa kushika nafasi kama mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya nk. Nakupenda Rais Wangu umeleta mapinduzi
 
Mteteeni sana na mjitete sana (Paschal Mayala ukiwemo) ila haya anayoyafany bwana mkubwa kuna wengine watakuja nao watayafanya hivyo hvyo na ikisha kuwa tabia ya kila kabila na ukanda kuna siku tutagawana mbao.
Historia ni mwalimu mzuri sana ila binadamu akishika madaraka anasahau kabisa ila wote ni mashahidi kwani nchi ngapi zimegawika na kuzaa nchi kutokana na mambo kama haya?
 
Ujumbe tumeupokea.
P
Brother, Mada nyingine zinachochea mambo mabaya usizianzishe.. Zinabomoa badala ya kujenga.. Binafsi sipendi tuhuma hizi kwani zinatuathiri hasa sisi watembeaji kukosa fursa sababu ya mambo haya.
Mihayo yeneye ya bubhi nkwengwa, lekanaga nayo kulwanguno uli mnho ntale na umanikile na bhingi.
#saynotonepotism#
 
Pascal nakubaliana na wewe kwamba kwa ujumla wasukuma si wabaguzi wala wabinafsi bali ni wakarimu na ni watu ambao hawakasiriki wala hawahamaki.

Mimi napenda sana wasukuma. Anavyoongea hajigambi bali hujiweka chini kama vile mshamba anayeshangaa wakati huo huo anakuchukulia wewe ndiye
uko juu.

Hata hivyo, ukweli ni kwamba kila jambo hutokea kwa bahati nasibu (random event) na hutawakinya kwa mtindo wa kawaida (normally distributed). Kwa maana hiyo hata tabia ya kisukuma pia ni random event kwa maana haitabiriki kutoka msukuma mmoja hadi mwingine. Yaani kiwango (magnitude) cha tabia ya kisukuma hutofautiana kutoka msukuma mmoja hadi mwingine. Kwa maana nyingine upo uwezekano wa kumkuta msukuma mwenye tabia ya kisukuma kwa kiasi kidogo au asiwe nayo kabisa (Makonda analijua hili kwa wachaga).

Kwa maana hiyo usifanye "generalization" ya tabia ya kisukuma kwa kila msukuma. Hata kama ni msukuma bado Magufuli anaweza "outlier" katika kundi la wasukuma na akawa na sifa ya ubaguzi na ubinafsi.
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali

Je, Wewe Pascal Mayalla ni msukuma??
 
Ok, vipi wewe ni mkabila au sio mkabila? Kabila yangu ni lipi? Wapi nimeonesha ukabila?

Petty stuffs i will leave you to it.I am beyond, above such nonsense.

Kuwasadia Maskini, akina mama hata jina silijui, ametoa 5 millioni, majeruhi ni laki tano ukabila kila mtu.qqq. Rais gani alifanya hivyo? Kuuliza maswali, kusikiliza matatizo ta maskini, kutatua migogoro hapo hapo. Kuwachangisha watu. Kujenga shule, hospitali, barabara ni ushamba

Tumtoe madarakani, tukuweke wewe utaisadia Tanzania zaidi. Mnatuita nafikiri mazuzu , mazazwa., washamnba, limbukeni. Tukitoa support kwa hii serikali. Poa.

,
Mkuu hao wapigaji wasikuumize kabisa kichwa. Walizoea kitonga, walizoea kunyang'anya watu viwanja, walizoea mishahara hewa, walizoea wizi na uonevu.

JPM kaja kivingine tofauti na walivyotegemea.
 
Mkuu Mokaze, Watanzania hatuulizani makabila, vipi unataka kutambika?.
P

Mungu ndiye aliyetufanya tuwe makabila ili tupate kujuana, kila alichokiumba Mungu kinayo faida yake na inawezekana sisi binadamu kwa uchache wa uelewa wetu tushindwe kujua sababu ya sisi kuumbwa katika mataifa na makabila mbalimbali.

Pia ninataka nijue kama wewe ni mtani wangu.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom