Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Paskali na wewe mbona huwa hueleweki mbona hiviiiiiiiiiii
Tupongeze kauli ipi?
Amedhihirisha yeye ndio alitoa amri nyumba za Kimara zibomolewe vile ni jimbo la upinzani au tumueleweje?
Leo tumpongeze kwa kauli mbofumbofu za Mwanza? Are you being serious?
Huyu mtu analigawa taifa kwa maneno matendo mawazo kipi usichokiona hapa Paskali!
Huyu ni njaa ndo zinazomsukuma always! Anatafuta tonge, halafu mwishoni anaweka upuuzi eti, declaration of interest! Hafai kabisa huyu pascali. Na ukinyonga wake ndo maana hapati kitu..!!! Anauma huku anapulizia huku!
 
Pascal naona unakosa dira...kama raisi huwezi kuongea kama alivyongea Magufuli,Raisi wetu anatakiwa ajue kuwa anawaongoza watanzania zaidi ya millioni 50 wenye makabila zaidi ya 120...

Huyu jamaa(Magufuli) naona ni mkabila na mdini ni kitu ambacho amezaliwa nacho,angalia anavyomtetea Bashite kwasababu ni mtu wakabila lake...,angalia alivyowavunjia nyumba wakaazi wa Daresalam kwasababu si wa kabila lake...

Binafsi nashangaa unavyomtete Magufuli au unaogopa Nissan nyeupe yenye watu wasiojulikana😀
 
ndugu hii kalamu leo , imekuwaje nimeshindwa hata kuendelea kusoma ,,,,,, mtu ambaye hana kumbukumbu na wewe hawezi ku feel maumivu yako ,,,,, naomba psychologist wanikosoe , ni hayo
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la matumizi ya kauli kuumba jambo jema kwa kutumia kitu kinachoitwa affirmation kwa kutumia the power of speech kuumba mema ya kila kinachozungumzwa na rais, hata kiwe kibaya vipi, unatumia nguvu ya kauli, kwa kuindia wema kupitia kanuni ya affirmations kutumia affirmatives kupongeza kauli ya rais Magufuli kusimamisha bomoa bomoa ya nchi mzima, kabla bomoa bomoa yoyote haijatekelezwa, upembuzi yakinifu kwa kutumia kigezo kipya kiitwacho a human face, lazima kitumike kwanza, ili zile nyumba zitakazo bomolewa ni zile tuu ambazo zina ulazima wa kubomolewa. (Hata kama rais alidhamiria ni Mwanza tuu, affirmations na affirmatives, zinaigeuza kauli hii kuwa ni nchi nzima, kauli huumba!)

Jee ni Kweli Kauli Huumba?.
Wajameni ni kweli kabisa, kauli huumba, ukitoa kauli mbaya au ukitamka jambo mbaya, kauli ile inakuwa imeliumba hilo jambo baya na kweli linatokea, ukitoa kauli njema, au ukitamka jambo jema, then kauli hiyo, inaliumba jambo jema, hivyo jambo jema kutokea, hivyo kauli hii ya rais Magufuli kusitisha bomoa bomoa na badala yake kutumia human face, ni jambo jema, tuiumbie wema, itelelezwe kwa Tanzania nzima.

Jee Kauli Hii ni Kwa Mwanza Tuu au Nchi Mzima.
Japo kauli hii ameitolea Mwanza ambako ni Usukumani, na yeye kujinasibu ni Msukuma na kusemekana ni Msukuma, hivyo kauli hiyo kuchukuliwa au kutafsiriwa wrongly kuwa rais Magufuli ni mkabila na mbaguzi kwa kuzuia bomoa bomoa kwa kabila lake tuu, mimi napongeza uamuzi huu kwa hoja kuwa kauli hiyo ni applicable national wide and not necessarily Mwanza tuu, hivyo kwa kauli hiyo, rais Magufuli atakuwa amesitisha bomoa bomoa zote nchi nzima, hivyo naomba wasaidizi wake wa jitokezeni, mlifafanue hili ili rais watu aeleweke asitafsiriwe vibaya huku nyinyi mpo.

Jee Rais Anaweza Kulazimishwa Kufanya Jambo Lolote?
Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977, rais ndiye mkuu wa nchi, mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, japo anakuwa na washauri, lakini katiba imempa rais mamlaka mamlaka ya kufikia maamuzi yoyote yeye mwenyewe, kwa kufanya jinsi ile anaona inafaa, bila kufuata ushauri wa mtu yoyote, lakini kuna maeneo Fulani Fulani, rais analazimika kufuata maelekezo ya katiba, sharia, taratibu na kanuni, na kuna maeneo rais analazikika kuchukua maamuzi Fulani kutokana na trends za public opinions, hivyo kwa kutumia kanuni inayoitwa assertiveness, kwa kutumia kitu kinachoitwa precedence, tunaweza kabisa kumlazimisha rais, kutumia precedence ya kanuni hiyo ya human face katika bomoa bomoa nyingine zote zilizobakia, kwa hoja kuwa kama human face imeweza kutumika Mwanza, kwa nini isitumike maeneo mengine yote ya Tanzania nzima

Justification ya Pongezi.
Naendelea kusisitiza kuwa kila jambo zuri linalofanywa na rais wetu, la kustahili pongezi, apongezwe, na kila baya, alaumiwe, akosolewe au arekebishwe, hili la kuzuia bomoa bomoa kwa kutumia kigezo kipya cha human face, kinastahili pongezi kwa sababu kinafanywa ina good faith, kwa nia njema ya kuwasaidia wananchi wake wasidhurike na bomoa bomoa.

Declaration of interest.
Kumezuka mtindo humu jf, mtu akipongeza jambo lolote zuri linalofanywa na rais Magufuli anaambiwa anatafuta U-DC, naomba kushikilia msimamo wangu wa kuunga mkono katiba ya Warioba katika hili la ma DC kuwa ni posts za kikoloni tuu ambazo kwa sasa ni redundant ambazo ni only wastage of money and resources, saves for, kutumika ku maintain status quo ya serikali iliyopo madarakani kama mkoloni alivyowatumia ku maintain his status quo.

Kauli za Rais Zisitafsiriwe Literally Bali The Motive Behind.
Sio kila rais anachosema kutafsiriwe direct or literally bali baadhi ya kauli hizo, ziangaliwe kwa dhana ya rais alidhamiria kusema nini na sio kuangalia tuu rais ametamka nini, sometimes ni tatizo la matamshi, sometimes ni kuteleza tuu ulimi kama ile ya Saadam, hivyo kuangalia kauli hizi zimedhamiria nini. Mfano aliposema wasibomolewe kwa sababu wamenipa urais, hapa naamini ni kuteleza tuu ulimi, rais akiishatangazwa kuwa ndie ameshinda uchaguzi, then anakuwa amechaguliwa na wote waliomchagua, wote wasio mchagua, wote kura zao zilizoharibika, hata wale ambao hawakupiga kura, hivyo ni rais wa wote, ndie rais wa CCM, ndie rais wa Chadema, ndie rais wa CUF, ndie rais wa Watanzania wote, waliomchagua na wasiomchagua, hivyo huu upendeleo wa wazi wa kabila lake, au waliomchagua, au chuki ya wazi kwa kabila Fulani, ni human weaknesses, human mistakes. tutumie affirmatives kulirekebisha hili, Magufuli nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo kuteleza ulimi, sio jambo la ajabu!.

Hitimisho.
Watanzania wazalendo wenzangu, tuungane name katika matumizi ya kauli kuumba jambo jema kwa kutumia kitu kinachoitwa affirmation kwa kutumia the power of speech kuumba mema ya kila kinachozungumzwa na rais wetu, hata kiwe kibaya vipi, tutumie nguvu ya kaul zetu kuzigeuza kuwa jambo jema kupitia kanuni ya affirmations kutumia affirmatives , hivyo kujenga Tanzania njema

Paskali
Too late and too little
 
Paskali waliobomolewa mbezi sio binadamu au wanaoendelea kubomolewa?
 
Raisi wangu ni jasiri sana kwani ameamua kuliweka wazi lile lililokuwa "nyuma ya pazia" kwa muda mrefu kuhusu ukabila na ukanda.
Ok, sikudhani kuwa anaweza akawa amezungumza kiukabila pale aliposema wengine hawana human face, ila kutokana na kauli yako hii, sasa nina mtizamo tofauti.

Mtu yoyote mkabila, mtu asiye na sura ya aina flani iliyojengeka ndani yake, kwenye mtizamo wake, kwasababu ya sumu ya ukabila, anaoiona kuwa siyo ya kibinadamu!

Hata wahutu na watusi walitambuana kwa vigezo vya urefu wa pua nk.

Kwahiyo asiye na pua ya aina flani inakuwa siyo ya kibinadamu machoni pake na ni rukhsa kumuuwa kinyama kabisa!

Ubaguzi huwa unakaa ndani ya mtu na ndiyo maana kuuficha ni shida!

You can’t hide who you’re, you can try, but you can never be successful on doing so.

Ni sawa na kutaka kuficha kikohozi.
 
Mbungewa mtama Nape Nnauye akiwa anahojiwa na DW amesema kitendo cha rais Magufuli kusema watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura ilikuwa ni utani sababu rais ni mtu anayependa kutania

Amesema pia ameshangazwa na bomoabomoa iliyofanywa kwa wananchi ambao serikali ilikuwa imewarhusu kujenga na kusema jambo hilo halifai

Mkuu kwanza asante kwa bandiko hili, pili kuna kitu kikubwa sana na cha muhimu Nape amekizungumza kuhusu kauli ile ya rais Magufuli, alichokisema hata mimi nimekisema katika bandiko hili

Paskali
 
Mkuu Paschal,nakubaliana na wewe kuna hoja katika hayo
4.Bomoa bomoa kuwa ya kikanda/kibaguzi.
Yote hayo umeyasemea vipi au huoni kama yana umuhimu wa kufanyiwa kazi ili kuweka sawa mambo?
Mkuu Nkese, hili la bomoa boma, nimelizungumza hapa.

P.
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Mkuu Barbarosa, hapa umeongea jambo la msingi sana, nimekuleta hapa ili usome na kujijibu mwenyewe, karibu.
Wanabodi,

Hili ni bandiko la matumizi ya kauli kuumba jambo jema kwa kutumia kitu kinachoitwa affirmation kwa kutumia the power of speech kuumba mema ya kila kinachozungumzwa na rais, hata kiwe kibaya vipi, unatumia nguvu ya kauli, kwa kuiundia wema kupitia kanuni ya affirmations kutumia affirmatives kupongeza kauli ya rais Magufuli kusimamisha bomoa bomoa ya nchi mzima, kabla bomoa bomoa yoyote haijatekelezwa, upembuzi yakinifu sasa pia utajuisha kigezo kipya kiitwacho "a human face", lazima kitumike kwanza, ili zile nyumba zitakazo bomolewa ni zile tuu ambazo zina ulazima wa kubomolewa. (Hata kama rais alidhamiria ni Mwanza tuu, affirmations na affirmatives, zinaigeuza kauli hii kuwa ni kauli kwa nchi nzima, kauli huumba!)

Jee ni Kweli Kauli Huumba?.
Wajameni ni kweli kabisa, kauli huumba, ukitoa kauli mbaya au ukitamka jambo baya, kauli ile inakuwa imeliumba hilo jambo baya na linakuja kutokea kiukweli. Ukitoa kauli njema, au ukitamka jambo jema, then kauli hiyo, inaliumba hilo jambo jema, hivyo jambo jema linakuja kutokea, hivyo kauli hii ya rais Magufuli kusitisha bomoa bomoa kwa kutumia human face, ni jambo jema, tuiumbie wema, kauli hii, ili itelelezwe kwa nchi nzima ya Tanzania.

Justification ya Pongezi.
Naendelea kusisitiza kuwa kila jambo zuri linalofanywa na rais wetu, la kustahili pongezi, apongezwe, na kila baya, alaumiwe, akosolewe, ashauriwe au arekebishwe, hili la kuzuia bomoa bomoa kwa kutumia kigezo kipya cha human face, linastahili pongezi za dhati, kwa sababu linafanywa ina good faith, kwa nia njema kabisa ya kuwasaidia wananchi wake wasidhurike na bomoa bomoa zisizo na ulazima, au zinazoepukika.

Kauli za Rais Zisitafsiriwe Literally Bali The Motive Behind.
Sio kila rais anachosema kutafsiriwe direct or literally bali baadhi ya kauli hizo, ziangaliwe kwa dhana ya rais alidhamiria kusema nini na sio kuangalia tuu rais ametamka nini, sometimes ni tatizo la matamshi, sometimes ni kuteleza tuu ulimi kama ile ya Saadam, hivyo kuangalia kauli hizi zimedhamiria nini. Mfano aliposema wasibomolewe kwa sababu wamenipa urais, hapa naamini ni kuteleza tuu ulimi, rais akiishatangazwa kuwa ndie ameshinda uchaguzi, then anakuwa amechaguliwa na wote waliomchagua, wote wasio mchagua, wote kura zao zilizoharibika, hata wale ambao hawakupiga kura, hivyo ni rais wa wote, ndie rais wa CCM, ndie rais wa Chadema, ndie rais wa CUF, ndie rais wa Watanzania wote, waliomchagua na wasiomchagua, hivyo huu upendeleo wa wazi wa kabila lake, au waliomchagua, au chuki ya wazi kwa kabila fulani, ni human weaknesses na human mistakes. tutumie affirmatives kulirekebisha hili, Magufuli nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo kuteleza ulimi, kukosea, au kutoa kauli tata sio jambo la ajabu!.

Hitimisho.
Watanzania wazalendo wenzangu, tuungane nami katika matumizi ya kauli kuumba jambo jema kwa kutumia kitu kinachoitwa affirmation kwa kutumia the power of speech kuumba mema ya kila kinachozungumzwa na rais wetu, hata kiwe kibaya vipi, tutumie nguvu ya kaul zetu kukigeuza kuwa ni kitu kizuri, ni jambo jema kupitia kanuni ya affirmations kutumia affirmatives, hivyo kujenga Tanzania njema

Paskali
Natumaini sasa nitakuwa nimeeleweka!, maana sisi wengine ambao ni wakosoaji, tusije tukatafsiriwa hatumtakii mema rais Magufuli, tukaja kujikuta tunapotea kama ilivyotokea kwa Ben Saanane, Azori, au kutumiwa Nissan nyeupe na pyu pyu kama Lissu.

Tanzania ni yetu sote, lazima tumtakie mema rais wetu na kulitakia mema taifa letu.

Paskali
 
Wanabodi,
.
Jee Kauli Hii ni Kwa Mwanza Tuu au Nchi Mzima.
Japo kauli hii rais Magufuli ameitolea Mwanza ambako ni Usukumani, na yeye kujinasibu kuwa ni Msukuma na kusemekana kuwa ni kweli rais Magufuli ni Msukuma, hivyo kauli hiyo kuchukuliwa au kutafsiriwa wrongly na baadhi ya watu kuwa rais Magufuli ni mkabila na mbaguzi kwa kuzuia bomoa bomoa kwa Mwanza tuu kwa watu wa kabila lake tuu, mimi kwa vile naujua Usukuma wa Magufuli, napongeza uamuzi huu kwa hoja kuwa kauli hiyo ni applicable national wide and not necessarily Mwanza tuu, hivyo kwa kauli hiyo, rais Magufuli atakuwa amesitisha bomoa bomoa zote nchi nzima, hivyo naomba wasaidizi wake wajitokezeni, mlifafanue hili ili rais wetu kusitisha bomoa bomoa kama ni Mwanza tuu au nchi nzima, ili rais aeleweke vizuri na asitafsiriwe vibaya kuwa ni mkabili huku nyinyi mpo.

Paskali
Mkuu one part ya hoja yangu umelijibu vizuri kudos to you.
Mkuu cencer09 , thanks for this
Vipi kwa ile kauli kuwa wa Mwanza wasivunjiwe kwa sababu walinipigia kura, unaonaje haikuwa ubaguzi?
Karibu hapa Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
P
 
Back
Top Bottom