Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

katika watu wabaguzi Magufuli anaongoza, siyo Magufuli aliyewabomolea nyumba wakazi wa kimara lakini kwa sababu ile ile akasema wakazi wa Mwanza wasibomolewe, huu siyo ubaguzi?
Ni ubaguzi
Na Pascal hili hakemei kwa sababu umefanywa na Msukuma mwenzake.
Karibu hapa uone nilisema nini Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
That is the kick of a dying horse, Pascal hakuwahi kukemea maovu ya Magufuli bali kuyatetea.
Alijitahidi kuanzisha nyuzi za kumtetea anapokosolewa na taasisi za nje.
Now he is crying foul anasahau what goes around comes around, kuna waliolizwa na Magufuli hakuwaona ila sasa godfather wao hayupo wanalia.
Mimenote ulijiunga jf 2012 hivyo utakuwa unamjua vizuri Pasco wa JF, Pascal Mayalla or Paskali, aliandikaga nini humu kumhusu JPM. Karibu mitaa hii Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
P
 
Ni ubaguzi

Karibu hapa uone nilisema nini Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!

Mimenote ulijiunga jf 2012 hivyo utakuwa unamjua vizuri Pasco wa JF, Pascal Mayalla or Paskali, aliandikaga nini humu kumhusu JPM. Karibu mitaa hii Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
P
Hoja yangu kubwa ni utendaji wa Magufuli as far as human rights na uthamini wa utu na sheria. Kwenye nyuzi zako ulisema na kuona kuwa uliitayarisha jamii kwa uchaguzi wa 2020, hapo ndipo sijakubaliana na wewe, hivi kama unaipenda jamii utakubaliana na kusifia uchaguzi wa 2020 badala ya kukemea?
 
Back
Top Bottom