Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Mbona mada yako yote inaonyesha na wewe ni sehemu ya serikali??
"Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi"
Yaani na wewe ni sehemu ya selikari, na sisi tunao wachanganya ni wananchi....umekua msemaji wa serikali??
 
kwa ulichoandika tarajia uteuzi ngazi ya U-DC!!kunyamaza nayo ni busara wala uropokaji si ujuaji!! @getwellsoonTLISSU
 
Ungekuwa na point endapo tungekuwa na Serikali yenye SIFA zifuatazo: 1.Serikali HALALI; 2.Serikali INAYOJIAMINI; 3.Serikali MAKINI; 4.Serikali ya KIDEMOKRASIA; 5.Serikali ya wacha MUNGU. Mosi, "Ushindi" wa Msukuma kwenye SANDUKU LA KURA unatiliwa shaka-hivyo SI serikali halali(uhalali wamepewa na Katiba kuukuu ya kuipa tume Mamlaka ya Ki-Mungu). Pili, serikali hii ni ya watu WAOGA, kuanzia "rahisi" na wadogo wote. WANABWEKA tu kama mbwa koko; serikali inaona kila mwenye MALI au AKILI ni tishio kwake! Tatu, haina DIRA wala MUELEKEO, haijui nini inataka, nini haitaki. Serikali ambayo iko tayari ichukue FEDHA ZA KUNUNUA DAWA NA VIFAA TIBA na kwenda kununua NDEGE, zije, wauze huduma, then, FAIDA watakayopata ndipo wanunue dawa! Hii ina maana watanzania kwa sasa WASIUGUE, "WASUBIRI" KIDOGO! Nne, hii ni serikali ya kidikteta, tena udikteta FAKE, maana hata qualities za udikteta HAWANA. Tano, hii ni serikali ya WAPAGANI. Huyu dokta
wa kuungaunga, MOYONI MWAKE HANA MUNGU HATA NUKTA. Ni mpagani wa kutupa. Kuthibitisha hili, muulize MMOJAWAPO WA WANAFAMILIA YAKE au yeyote aliye karibu na familia. Hutaamini. Hata ukiwa na common sense MOJA out of 5, bado huwezi kusema Magufuli na genge lake hawahusiki. You're MORE THAN POINTLESS, today. Ungekuwa professor, hiki ulichoandika tungekiita PROFESSORIAL RUBBISH!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

- Ningekuwa sina point kwa a genius like you kuandika mgazeti mzima kujibu rubbish? yanakuwa ni maajabu ya dunia kama sio ya Tanzania tu hahahahahaha

le Mutuz
 

- hahahahaha yaani wewe prosecutor na wewe ni Jaji sasa unamuuliza nani hapa wakati una majibu ya kila kitu ulichoandika? yaani unajitekenya na kujichekesha mwenyewe? hahahahaha

le Mutuz
 
Kama iljshjndikana kwa Dr Ulimboka sina imanj tena Kwa hili
 
waliomuua mawazo wameshughulikiwaje ?
 
Wewe kubwa jinga kakojoe Ulale na Elibadili inayokuja wote mlioshiriki njama za kumuua Lisu mtavuna mlichopanda na huko gheto unapokaa utafuluzwa na baba yako kwenda kulala kwa Bashite

- hahahaha vipi waliomuua Chacha Wangwe mbona hujawaombea madua yako hayo ya kijinga unaomba dua kwa majina ya Bandia anakusikiliza Mungu wa wapi zaidi ya humu humu JF, hahahahaha

le Mutuz
 
 
Le mutuz huna credibility yeyote siku hizi. wewe ni mtu muongo muongo,baadhi ya mambo yako ya nyuma yanathibitisha hilo, mfano uliwahi kutetea kwamba gari aina ya Ford Ranger uliyowahi kuitangaza kwenye instagram yako inauzwa sio aliyokuja kuimiliki baadaye Bashite, baada ya yule dada wa US kuweka ukweli hadharani, ulikuja kuumbuka! wewe pia umewahi kusema ulimfahamu Bashite tangu anasoma university kwamba alikuwa anamiliki BMW, lakini waliosoma na Bashite university wanamfahamu vizuri hata hali yake ya kimaisha ilivyokuwa siku hizo. kuwa mtu mwenye imani kidogo uache kutetea hata mambo maovu kwa lengo la kujikomba kwa wenye madaraka.
 
Facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Naam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.

Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.

Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
 
akubari kutoka seriklini na bashite wamuue kwa risasi

inawauma amepona....

mi nashangaa hata wanaosema wanatulinda

makosa mengi ya operation zao, nape walifanya upuuzi, clouds uupuuzi ule uele, lisu hivo hivo, kweli nchi ipo salama kweli

nazani hapa watu wanakuja na kufanya watakavyo
 
Nenda ushauriane na mkeo vizuri, mmojawenu akawe mlinzi wake
 
Sasa maccm tangu lini wakatoa ushauri kwa Lissu .. Mbona mnataka kupindisha ukweli wakati inajulikana kuwa ile mission yenu imefeli. Pambaneni na hali zenu ya chadema haiwahusu kabisa.

Get well soon learned brother
 
nimekugongea like, pitia pale kwa mangi ukamate vitochi 2 vya mbege, nitalipa baadae
 
Mtaendelea kuweweseka sana mission failed,

Adam anayemuendesha Tundu Lisu siyo dreva ni kijana wake, ndugu yake na amemlea yeye.

Kama ulidhani Lisu ana akili ndogo kama funza wa Lumumba pole.

Ni kwa nini Polisi waliamuru gari zote zitolewe tinted? Walikuwa wanataka wamuone vizuri nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…