Ungekuwa na point endapo tungekuwa na Serikali yenye SIFA zifuatazo: 1.Serikali HALALI; 2.Serikali INAYOJIAMINI; 3.Serikali MAKINI; 4.Serikali ya KIDEMOKRASIA; 5.Serikali ya wacha MUNGU. Mosi, "Ushindi" wa Msukuma kwenye SANDUKU LA KURA unatiliwa shaka-hivyo SI serikali halali(uhalali wamepewa na Katiba kuukuu ya kuipa tume Mamlaka ya Ki-Mungu). Pili, serikali hii ni ya watu WAOGA, kuanzia "rahisi" na wadogo wote. WANABWEKA tu kama mbwa koko; serikali inaona kila mwenye MALI au AKILI ni tishio kwake! Tatu, haina DIRA wala MUELEKEO, haijui nini inataka, nini haitaki. Serikali ambayo iko tayari ichukue FEDHA ZA KUNUNUA DAWA NA VIFAA TIBA na kwenda kununua NDEGE, zije, wauze huduma, then, FAIDA watakayopata ndipo wanunue dawa! Hii ina maana watanzania kwa sasa WASIUGUE, "WASUBIRI" KIDOGO! Nne, hii ni serikali ya kidikteta, tena udikteta FAKE, maana hata qualities za udikteta HAWANA. Tano, hii ni serikali ya WAPAGANI. Huyu dokta
wa kuungaunga, MOYONI MWAKE HANA MUNGU HATA NUKTA. Ni mpagani wa kutupa. Kuthibitisha hili, muulize MMOJAWAPO WA WANAFAMILIA YAKE au yeyote aliye karibu na familia. Hutaamini. Hata ukiwa na common sense MOJA out of 5, bado huwezi kusema Magufuli na genge lake hawahusiki. You're MORE THAN POINTLESS, today. Ungekuwa professor, hiki ulichoandika tungekiita PROFESSORIAL RUBBISH!
Sent using
Jamii Forums mobile app