Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Na hii ndo sababu ile Tv yako ya online kuishia kwenye kapu .Amini kwamba huwez kuja juu walio wengi hawapo upande wako. Sijawahi kuona mafanikio yako katika social medi zaidi ya ego.Social media inahitaji uwe neutral ndio ufanikiwe .Ayo daima ndio King of all social media not you
 
angepigwa risasi baba yako mzazi, ungediriki kushauri watanzania wanyamaze kimya waiache serikali ichunguze? Umri wa miaka 60 kazi kunyoa upara muda wote kuzikataa mvi
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Lemutuz atokee kipindi hiki baada ya kuadimika sana ?Kunanii ?
 
Uko so FACT na upana wa mambo
 
"Basi watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa, na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA..." Yeremia 30: 16-17.
 
Mwanadamu amepewa utukufu mkubwa kuliko viumbe vyote nayo ni akili ss ww kama ukishindwa kuchekecha akili yako kwa mtiririko wa matukio yote hayo kama bado hujafahamu mchawi bac pole sanaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
 
Umetumwa na Daudi Badhite kuja kumtetea humu JF mwambie atavuna alichopanda ngoja Tundu Lissu arudi kutoka kwenye matatibu ukweli utajulikana mbona nimeshaanza kuweweseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…