makinikia 101
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 491
- 876
Msinitegemee mimi kupata Noah,Aiseee we makinikia ndo maana umezuiwa kueatirishwa una mdomo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msinitegemee mimi kupata Noah,Aiseee we makinikia ndo maana umezuiwa kueatirishwa una mdomo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kiongoziMsinitegemee mimi kupata Noah,
Mie napingana kabisa na mawazo ya wengi kuituhumu govt kuwa imetaka kumuua Lissu.
Kwanza tujiulize, according to the news
1)aliemuua mchungaji mtikila ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
2)aliemuua chacha wangwe ni nani?
(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
3)aliemtia sumu mwakyembe mpaka akawa anatoa unga ni nani? (kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
4)aliemtia sumu zitto kabwe kule bagamoyo mpaka kukimbizwa nje ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
5)aliemuua Ditopile kwa sumu utumbo ukaoza ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muuaji?)
6)alietaka kumuua swahiba wa zitto kwa kukata kamba za lift ikaporomoka toka juu mpaka chini na kumvunja miguu ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
7)Dr slaa akiwa bungen akisumbuana na govt, aliemtishia kumuua na kumuwekea baadhi ya vifaa room kwake ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
8)Kaboor akiwa CDM kigoma, aliemtishia kumuua ni nani?(kwann hatusemi ni govt wakat "hatumjui" muhusika?)
Sasa kwann Lissu tu ndo tuseme govt? Yeah i knw tutasema its bcoz amekuwa akikwaruzana na serikali ndo maana tunahisi imefanya hvyo
Sasa kama hoja ni kukwaruzana,
1)chacha wangwe alikwaruzana na mbowe, je mbowe alimuua?
2)mtikila alikwaruzana na eddo, je edo alimuua?
3)kaboor alikwaruzana na mbowe, je mbowe alimtishia?
4)dr slaa alikwaruzana na govt pamoja na cdm, the cdm walimtishia?
5)zitto alikwaruzana na cdm kwa kuvujisha siri za chama, je cdm walimtia sumu?
6)mwakyembe alikwaruzana na eddo richmond, je alitaka kumuua?
Why lissu kukwaruzana na govt ndo tuseme govt imefanya tukio?
Tujiulize, ni jasusi gani wa govt anaeenda kuua mtu kama lissu halaf anapiga risasi 25+ randomly? Lakn pia tujiulize ni govt gan stupid kiasi cha kufanya assasination kwa mtu ambae whole world macho yako kwake, coz at that point whole evidence zitapoint kwako tu.
Assasin wakiamua kuua mtu wa status ya Lissu they always make it look like an accident sio uchafuzi wa risasi 25+. Wanaweza kugongana na roli(accident), waweza vuta hewa sumu ukafa baada ya week ukiwa ofcn kwako(accident),waweza chomwa cyanide or sarin ukafa after 3 days(accident),gari ina AC unaweza tiwa sumu ukaivuta kupitia AC ukafa next week(accident) etc
Tazama mauaji ya viongoz wengi, either ni accident or kapigwa risasi moja tu. Thats called proffessional assasinations sio huu upupu wa 25+ bullets. If they wanted him dead wangekuwa washafanya long time ago. Wamemkamata sometyms usiku,nyumbani kwake,barabarani,central,bungeni,ofcn kwake, inamaana walishindwa kote huku? SIO KWELI
Mie naamin kuna watu tu wamekodiwa wamefanya tukio kwa kujua lawama zitaenda kwa serikali na sasahv kila mmoja anasema serikali and thats exactly what they wanted.
(Nawaza tu) What if katishia kugombea uenyekiti CDM mwenyekiti kaamua kutumia fursa?
Naendelea kuwaza (what if) acacia wameona hali tete btn them and govt wakaona watumie fursa ili kucreate chaos kwa govt ili ipoteze focus hasa ktk sakata hz nyeti?
What if......(ongezea na zako)
At this point binadamu are capable of anything hasa wale tusiowadhania
Tuipe muda serikali safi ya wanyonge ichunguze na tuiunge mkono. Mungu atasaidia Lissu atapona na siri zote zitaju
likana one day..Ameen
Saiv nakojoa kabisa mkuu, wakija wanakuta sina mkojo
Hahahaha kojoa mwingiSaiv nakojoa kabisa mkuu, wakija wanakuta sina mkojo
watu wa system always ni mavampaya tu!Jibu rahisi tu; magari ya aina hiyo yanatumiwa na "watu wa system"
Sharti langu umelielewa?Wewe unatakiwa utusaidie, kuwapata watu wasiojulikana kwa kuwa kwenu ni kumoja huko pasipojulikana, karipoti kwa Kamanda wa Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko so FACT na upana wa mamboNi watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty
Kuna vitu vinatia shaka sana kwa tukio la Lissu na siku zote upelelezi lazima uanzie kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo
Ndugu hata waje nani mbinu na taratibu za investigation zinafanana kuanzia
1 DNA
2 CCTV cameras
3 Finger print
4Ushahidi wa Mazingira
5Ushahidi wa mawasilino
Huku njia za kiuchunguzi ni 6 zilezile si kwamba CIA wakija watakuja na njia zaidi ya hizi
1 immediate action
2 Plan investigation
3 Data collection
4 Data analysis
5 Corrective actions
6 Reporting
Ukiangalia njia karibu zote tayari jeshi la Police linazifanyia kazi toka siku ya kwanza kingne ambacho ujui huko huko kwenye NSA,CIA,FBI yani US ndio nchi ya kwanza kuongoza kwa mauaji ndani ya US na Marekani hakuna kesi zinazochukua muda mrefu kuwa solved kama kesi za mauaji kuanzia mauaji ya Mitaani au homicide rate ya mauaji kwa mwaka ni 16.3% ya vifo vyote vinavyotokea US ni vya mauaji hasa ya silaha za moto yani bunduki pamoja na kuwa na Technologia kubwa vyombo vya Ulinzi na usalama zaidi ya 17 lakini ndio nchi yenye rate kubwa ya mauaji ya kutumia silaha na kesi zake zinachukua muda mrefu sana
Kuanzia mwaka 1968-2011 kumefanyika mauaji zaidi ya 1.4 milion kesi ambazo zimekuwa solved yani wauaji kupatikana na hukumu kutolewa ni chini ya kesi 1.2 milion so bado kesi zaid ya laki mbili bado si solved hiyo ni mwaka 1968-2011 kumbuka ktk nchi zenye vurugu na mauaji ya silaha SA na USA zinaongoza
Mwaka 2010 68% of all homicides in the US were committed by firearms
Lakini kesi nyingi za mauaji zinategemea sana laboratory kusolve kuanzia DNA mpaka Finger print ambapo FBI wana
system ya Combined DNA Index System ( CODIS ) ambayo raia wote wa US DNA zao zinakuwapo so wanakuwa wanafanya matching na DNA ya kwenye Crime scene pia bado aitoshi kumfungulia mtu kesi kwani mtu anaweza kuua na kupadikiza DNA ya mtu mwingine kwenye Crime scene je DNA za raia wote wa Tanganyika zipo kwenye data base?? na katika uchunguzi watu wa kwanza kuchunguzwa juu ya swala hili ni Chadema wenyewe kwani kanuni ya uchunguzi inaanzia kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo je chadema wako tayari kuchunguzwa wao kwanza? pili wako tayari kupokea majibu ya uchunguzi utakapokamilika je ikitokea Chadema kuna mtu amehusika je wapo tayari kukubali je wanachama wa chadema wapo tayri pia kukubali matokeo ya uchunguzi huo??
Ukiwa mshabiki wa upande mmoja ni ngumu sana kuelewa huu ujumbe. Kuna wenzio pia watakuwa hawajaelewa.Sijakuelewa kiongozi!
KabisaNi watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty