Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Kwa kuwa Lissu amejipambanua ni mwiba katika siasa za upinzani, tukio la kupigwa risasi mchana kweupe, tuombe Jeshi la Polisi liweke wazi matokeo ya upelelezi wake. Kufanya hivyo kutaondoa hofu zilizopo kuwa kuna siasa chafu nchini ili kuelekea kwenye utawala bora kufikia nia na lengo la Tanzania mpya ya uchumi wa kati.
 
We unazungumza haya mmetumwa na nani kwani maana unaonekana upo nyuma au mbele ya watu wasiojulikana
 
Mangapi wameachiwa na tukapewa matokeo? Usifumbe jicho la kushoto ukijiaminisha huoni ilihali jicho la kulia hujalifumba.
 
Kaka umeeleweka sana. Mungu akubariki kwa kuwatoa tongotongo walioanza kuinanga Serikali
 


Kwa wanaojua magari, huku mjini magari haya yanaonekana zaidi na akina nani, nani wanatumia zaidi magari haya.
 
Mkuu msalimie mshumbusi!
 
A good dog is that which obeys his master,
Wazee wa makinikia + pangaboi bana.
Ai wishi ai kudu bi aijipii
 
Majibu kuhusu hao wengine uliowataja vipi serikali imeshatoa ili tuiachie na hili itoe majibu?
Ooh sorry utasema haijatoa kwa kuwa rais hakuwa Magufuli vipi mbona asitoe majibu kuhusu aliyemnyooshea Nape bastola au hata mauaji ya kibiti?
Ni lini hao watu wasiojulikana watatolewa majibu maana umeeleza matukio na kuomba tuiachie serikali itoe majibu lakini hujatueleza kama kwenye matukio husika uliyotaja serikali ilileta majibu.

Akina Lemutuz huwa mnakurupuka na kupaniki na hoja dhaifu sana na ndiyo maana wewe na dada yako Mange Kimambi hamuishi kublock watu wanaowapinga huko Instagram mnataka wote tuwe tunakubaliana na upupu kama huu kwa mfano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngabu mlilelewa wote melini?
 
Kaka yangu ,Mungu yupo na hakawii,miaka 1000 kwa Mungu ni siku moja.Ndio maana huwa nawaambia watu,ukiona watu wanamatatizo Fulani kwa maisha yao lazima Kuna kitu kilifanyika na mtu kwenye familia.Mfano kukosa kitu kwenye maisha kuwa na magonjwa yasiyo pona nk.ni matokeo ya dhambi au laana.Kuna mtu nilimwuliza ukiona mtoto wa polisi ana maisha mazuri ujue baba yake alikuwa polisi mcha Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…