Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi


- Sasa mbona unaongelea wastaafu hahahahaha unasema ninahitaji kuheshimika na wastaafu? hahahaha Mama yako huwa unamposti hapa? hahahahaa pole sana sina shida ya kuheshimika na wastaafu no way! hahahahaha

le Mutuz
 

- Ina maana unajielewa sasa umeposti nini hiki mkuu? hahahahahahaa

le Mutuz
 
Ila ccm ilikuwepo!!!
 
Wanajamii hili ni jamvi adhimu la rational thinkers lakini baadhi yetu wengi in impulsive na irrational thinkers.
Swali kubwa ni kwamba serikali itakamilisha vipi uchunguzi iwapo shahidi mkuu ambaye ndiye pekee aliyeshuhudia shambulio lile amefichwa hadi leo.
Halafu tunaweza kupaza sauti yetu kuilaumu serikali kuhusu uchunguzi wa tukio lile bila kushindikiza shahidi ahojiwe ? Ninahisi wengine wanatoa machozi ya mamba wakidhani wanapata political mileage
 
- Aliyekuambia Serikali imeshindwa ni nani? Ni nani aliyeomba akamatwe?

le Mutuz
Eh! Ama kweli nimeamini kumbe matusi yote unayotukanwa na kina Mange yanakustahili...
Yani polisi huwa wanaombwa kukamata wahalifu wakati ni kazi yao??!!
 
Eh! Ama kweli nimeamini kumbe matusi yote unayotukanwa na kina Mange yanakustahili...
Yani polisi huwa wanaombwa kukamata wahalifu wakati ni kazi yao??!!

- Mange kajitukana mwenyewe maana yale matusi yote yanamuhusu marehemu Baba yake, otherwise eti unataka kujua nani anahusika na kifo cha Chacha Wangwe au what?

le Mutuz
 
- hahahaha ina maana ndio maana wameshindwa kumtafuta alimuuaa Chacha Wangwe ni kwa sababu ya mke na mtoto au what?

le Mutuz
Wangwe alipata ajali policcm walichunguza dereva akapatikana na hatia ya careless driving ..
otherwise ingekua kinyume policcm wangotoa ushahidi.
hapa lissu ndo issue. Nani alimpiga na kwa nini askari wa zamu getini hawakamatwi na kwa nini wauaji walipewa easy trafic kukimbia.
chacha wangwe hata mtoto wake yupo cdm na anapaza sauti dhidi ya dereva asie na leseni ...alilichukua lori kwa kuharibu na kusukumizwa
 
Sijui watoto wake wanajisikia vipi kuwa na mzee hana akili kabisa
 

- Duh! kweli yako ni Great Thinking U know hahahahaha

le Mutuz
 
Sijui watoto wake wanajisikia vipi kuwa na mzee hana akili kabisa

- Ungejiuliza baba yako anajisikiaje kuwa na mtoto kama wewe mwanaume unayehangaika na maisha ya wanaume usiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia? hahahahahaha jiangalie kwanza kuhusu baba yako na wewe kichwa koroma hahahaha

le Mutuz
 
Nyie watu mnafikiriaga na pua sio umekaa na kichwa chako kikubwa unategemea serikali itoe majibu ya msingi wewe. Unatuletea mlolongo wa history za ajab ajaba kila tukio lina chanzo chake bwana umekaa kihistory history tu shtuka wewe mleta uzi
 
We kweli bwege! Soma tena ulicho andika halafu fikiri upya MFc! Umekuwa nani kuijibia serikali? Yule unayemuita baba yako angekuwa ametwangwa yeye risasi ungeyasema maujinga haya kweli?
Ngoja nikuache kwani naanza kuamini zile tuhuma za tabia chafu kuwa zina ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…