Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

"TUVIACHIE VYOMBO VYA USALAMA! OOH SORRY, VYOMBO VYA DOLA"
-------------------------------------------------------------
Hii sio kauli mpya. Na kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini vyombo vinavyoitwa vya usalama vilitoa majibu panapotokea matukio ya uhalifu dhidi ya watu wanaokosoa serikali au wanaharakati wengine.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kutekwa, kuteswa na kutupwa porini ili afe, Dr. Steven Ulimboka.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la mauaji ya Dr. Senghondo Mvungi.
Tumeviachia vyombo vya usalama kutekwa na kuteswa kwa Absalom Kibanda.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la mauaji ya Prof. Mwakyusa
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kumwagiwa tindikali Mh. Saed Kubenea
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kupotea Ben Saanane
Tumeviachia vyombo dola miili ya watu saba iliyokuwa kwenye mifuko, iliyotupwa mto Ruvu.
Tumeviachia vyombo vya usalama kumwagiwa tindikali wazungu kule Zanzibar
Tumeviachia vyombo vya usalama mauaji kwa kuchinjwa, Alphonse Mawazo
Tumeviachia vyombo vya usalama kulipuliwa mikutano ya Chadema kwa mabomu ya Arusha.
Tumeviachia vyombo vya usalama tukio la kulipuliwa kwa mabomu ofisi za IMMMA

Leo Lissu anapigwa risasi nyingi kwa lengo la kuuawa, kauli ni ileile! Tuviachie vyombo vya usalama.
Nikumbusheni ni matukio mangapi kati ya hayo hapo juu yaliyotolewa majibu na hivyo vinavyoitwa vyombo vya usalama!

Sijawahi kuona kitu kinachoitwa chombo cha usalama katika nchi yangu. Kuna vyombo vya dola! Kwa hiyo kauli rasmi iwe "TUVIACHIE VYOMBO VYA DOLA".
Maana yake ni kwamba tusitegemee kuwe na majibu yoyote ya kuridhisha kama dola ndio linahusika na matukio ya uhalifu. Chombo cha dola hakiwezi kukamata dola!
Kuna nchi zina vyombo vya usalama. Kwa mfano CIA ya Marekani. Ndio maana CIA wanaweza kumchunguza Rais wa nchi yao ya Marekani. Kwa sababu ni chombo cha usalama kwa ajili ya wamarekani. Hata pale CIA wanapotuhumiwa kufanya uhalifu, mara nyingi huwa kwa nguvu zingine, sio Marekani.
Sisi huku tunafanya vyombo vya dola kwa ajili ya kulinda dola, sio vyombo vya usalama kwa ajili ya usalama wa taifa lote/raia wote. Tuna vyombo vya dola kwa ajili ya dola na watu wanaopenda na dola, na wanoonekanekana kushabikia dola.
TUVIACHIE VYOMBO VYA DOLA kama tulivyoacha huko nyuma, na bahati nzuri watanzania ni watu wa kuacha.
Lakini ole wetu, wanyonge watakapochoka na kuamua kurudisha ngumi! OLE WETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
u nailed it mkuu tatizo wanadhani sis watanzania wote ni wajinga
 
Unafananisha vipi mauaji ya Dr. Sonkondo na tukio la Lissu. Senkondo ingawaje alikuwa ni kiongozi wa upinzani lakini siasa zake wala hazikuwa za kuiudhi serikaali. In short, siasa zake zilikuwa sawa na wanasiasa wenzake wa NCCR kama akina MBatia. Hadi Dr. Senkondo anapigwa risasi hakuwa na sintofahamu yoyote na serikali ya kuhisi kwamba labda serikaali waliamua kumpoteza. What about Tundu Lissu?!
fuatilia msimamo wake kwenye tume ya katiba ulikuwaje sio unaongea tu .nji huijui kijana
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Nilitarajia katika hiyo orodha usema pia alikuwa nani muhusika...Maana nyingi tu zimebaki ni watu wasiojulikana.
 
hili bandiko la HOVYO heri ungelibakisha kulekule instagram kwenye followers wako ambao wanakukubalia kila kitu kuliko humu ambako kuna watu wanaojielewa na wenye mawazo huru ambao huwezi kuwapangia maoni maana kule unawablock wenye uelewa mkubwa unabaki na mbulula wanaokuitikia kila unachowaandikia FACT FACT FACT.

kwanza ulichoandika kinakiingiza chama chako na serikali ya CCM kwenye UTATA kwamba ni kweli hayo mambo uliyoyaorodhesha yamefanyika katika vipindi tofauti vya serikali ya CCM ila mnachotaka kufanya ni kuitoa awamu hii kwenye UTATA huo kitu ambacho HAKIWEZEKANI,RAIS mwenyewe kwa kauli zake anasema maneno kama SIJARIBIWI,UKIWATOA BUNGENI WAKIWA URAIANI HAWANA KINGA TUTAWASHUGHULIKIA,anawaambia wana usalama kwamba NI HERI MVUNJE SHERIA MKILINDA RASILIMALI ZETU kweli?

FACT ni kwamba matukio yoote mabaya yaliyofanyika hakuna suluhisho lolote lililopatikana so far,amepotea ben saanane serikali haina majibu,mtu kavamia studio usiku ameambiwa kwa jeuri apige kazi,NAPE katishiwa BASTOLA na ingekuwa ni uchochoroni wangemshuti hakuna chochote kilichofanyika,wametekwa watu wameteswa mpaka leo hakuna majibu na kikawaida haya matukio mtu tu mtu akurupuke alikotoka akafanye matukio kama haya anakamatwa mchana kweupe.Niwakumbushe tu hizi ni ZAMA zingine sio ZAMA mlizopitia nyie ujanani enzi za mwalimu uelewa wa mambo umeongezeka na mnayoyafanya yanazidi kuwafumbua macho watu na tutafika mnapopataka tufike.
 
fuatilia msimamo wake kwenye tume ya katiba ulikuwaje sio unaongea tu .nji huijui kijana
Hakuna unachokijua we mzee! Msimamo wake ulikuwa upi?! We unataka kusema Senkondo ambae tangia hapo hakuwa mwanasiasa mwenye msimamo mkali ndo aligeuka kuwa mwenye msimamo mkali kwenye mkutano wa wajumbe ambao ndani yake kulikuwa na wajumbe wenye itikadi za CUF ambao ulikuwa huwaambii chochote kuhusu muungano? Nini kwenye katiba ile ambacho kilikuwa hot kama sio suala la Muungano?! Ni wajumbee kutoka upande upi wa muungano ambao ulikuwa huwezi kuwaambia chochote linapokuja suala lla Muungano?

Kawadanganyeni maju'ha ya Lumumba.
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Lini hiyo serekali ilitoa majibu mbona kwa shekh ponda haikutoa sanasana utasikia watu wasio julikana basis kwisha
 
Ni kweli Rais hakuwa magufuli lakini alikuwa member wa baraza la mawaziri! Watch it!
 
- Nimesema hivi Mwangosi aliuawa nikiwa nimerudi Bongo, na haikuwa MWaka 2002 so relax tafuta hoja ya msingi na infact Rais hakuwa Magufuli

le Mutuz
Yaani nilikuwa nakuheshumu Sana.
Unataka Kujustify nini?
So kama mambo hayo uliyotaja hayakutokea kipindi chake so INA thibitisha kipindi hiki haiwezekani kwake?
Sikulaumu sana .
Maisha yalivyo magumu Na Wewe huna kazi ya Maana mjini umepata pa kula Hata viatu utawasafishiaaaa.
Jamani tusimlaumu hiyo Ndo kula yake
Njaa isikieni hivi hivi ukiangalia kwenye URITHI hayumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wamesema wanataka taarifa toka kwa wananchi
Waambieni wasome JF taarifa zipo nyingiii tu mbona. Au mnataka tuweke 'crime stoppers hiyo unapiga tuu hakuna anayetaka kujua wewe nani wanachohitaji taarifa'
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Let the people speak it cures many hidden sorrows... Let them speak to lessen the bite inside them! Let them speak so that you can know their thoughts n the TRENDING!
protect them! Protect their speech even if it sores you... AND THEN ACT ACCORDINGLY... because you are not perfect

Jr[emoji769]
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Magufuli amejaa damu mikononi ya Lissu na wananchi wa Kimara wanaobomolewa makazi yao
 
Back
Top Bottom