Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lemutuz anataka kusema nini?
Tukio liko staged ?
Maana naona mara alivaa shati blue,hii inasaidia nini kwa sasa?
Mgonjwa yuko mahuti huti,kweli unawaza alivaa shati gani?
Dereva wala lissu wala mbowe hawajasema lolote kuhusu kumtuhumu watu unao jaribu kuwatetea?
Hivi vita yako na mange unaleta jamiiforum home of great thinker?
Sidhani kama wewe lemutuz unaweza kuwa na fact zozote zaidi ya dereva au lissu?
Kama ukisema wewe ndo ulikuwa dereva kwenye Nissan nyeupe ndio njia pekee naweza kuamin fact zako ?
Nakama unajua zaidi,kwa nini usiwasaidie police?
Kwa umri wako na mambo yako am very sure baba yako ana udhunika akikaa akikuangalia..
HITIMISHO..
Uwezi shindana na tundu lissu hata apo kitandani alipo sasa...
Ridhiwani kikwete ni beyond your league..
Mange kimambi amekuzidi hadi followers..
Tafuta kazi nyengine,au uwe mc kwenye kitchen party..
Unajichanganya mwenyewe
i do respect kazi yako ya social media, sina tatizo na hilo....! tatzo unatumika vibaya brother.....hao wakuu wako (mtukufu na bashite ) wakifanya mission yao ikifeli ww ndio unatumika ku-dump their mistakes na kusawazisha ili upepo ukae sawa, kitu ambacho unakuja kuwa-attack upande wa pili kwa gharama yoyote ili mradi umewasafisha .....nikupe mfano kidogo tukio la pale clouds hadi ushahidi wa cctv camera ulikuwepo lakn ulitumika tena kutetea uovu na kupindisha ukweli kuwa uongo....anyway unatetea ugali wako sikulaumu !
Sent using Jamii Forums mobile app
- sasa unajibu mchaganyo why na wewe hujajichanganya?
le Mutuz
Mkuu tabia hii ya ma-finger ulianza lini??- sasa unajibu mchaganyo why na wewe hujajichanganya?
le Mutuz
Mkuu sikushangai ulivo matope kichwani??
Lakini tuanzie hapa je hii ya midole ulianza lini?
Mkuu huyo aliefanyiwa ni baba ake tena marehem...SIO YEYE- kwanza ungemuuliza marehemu baba yake alipofanyiwa akule Kigoma ilikuwa lini? au unasemaje?
le Mutuz
- kwanza ungemuuliza marehemu baba yake alipofanyiwa akule Kigoma ilikuwa lini? au unasemaje?
le Mutuz
Habari ya ww kuingiliwa kinyume na maumbile, kwa sisi watoto wa mjini hatujaanza kuisikia leo mkuu
Why to this extent??
Kusingizia kwmb ndugu zako wanakuchukia haikusafishi na laana hii ya kulawitiwa mkuu
Mkuu huyo aliefanyiwa ni baba ake tena marehem...SIO YEYE
UNAFIKIRI TUKIANZA KUFUKUA YALIYOMKUTA BABA YAKO..ATAKUWA SAFI??? WASUKUMA MWANZa wana siri zake nzito
MIMI CONCERN YANGU NI WW , WW NA HUYO BASHITE KWANINI MPIGWE MIDORE??
Nashukuru kwamba unamfahamu na kumtambua bashite.
Wananchi gani wenye maisha bora unaowazungumzia,wenye maisha bora ni wawili tu lemutuzzz na bashite ndo wanaoneemeka kwenye utawala huu wa hili jiziiiiii la chatto- wanaolalamika ni Viongozi wa zamani na famailia zao maana mirija imefungwa, wananchi wa mtaani hawajawahi kuwa maisha bora zaidi ya waliyonayo sasa msiwasingizie hawana tatizo na Rais.
le Mutuz
Nimetoa shukrani, zipokee kwanza.- Eti unawajua waliomshambulia Lissu au hapana?
le Mutuz
Bashite na chawa wake kibaraka mkuu lemutuzzz kubwa jinga- Eti unawajua waliomshambulia Lissu au hapana?
le Mutuz
Mkuu unaposema ametumwa una maanisha nini???- Hapana anatumwa tu yule dada ila anachokosea anamzungumzia baba yake mzazi ndio maana namuonea huruma sana maana mimi sio baba yake mzazi aliyefanyiwa anayoyazusha!
le Mutuz