afisa manispaa
Senior Member
- May 17, 2015
- 188
- 132
walikuja jomba usibishe kitu ambacho ukijui
WAGNER hawakuenda msumbiji mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAGNER hawakuenda msumbiji mkuu
Humjui vizuri mrusi wewe.Subiri kidogo mkuu utajua, Vikosi vipo US vinapata mafunzo ya Patriot halaf utakuja kutuambia tena hapa kuhusu Wagner Group, ukiona Urusi inakodi mamluki kiasi hiki ndani ya mwaka mmoja kwenye vita ujue hana tena jeshi, jeshi lake limeenda na maji sasa anaamua kukodi
Tuonyeshe hao, maana nimetafuta hio habari sijaiona.walikuja jomba usibishe kitu ambacho ukijui