Tuige hii desturi ya wachaga


ushamaliza mkuu,.
 
harufu ya ukabila ishaanza kunuka..kaskazini..,kaskazini,..kaskazini,..!!
 
Shida ya wachaga ni kuuana tu...either kwa bastola au ushirikina,hasa ndugu kwa ndugu au partners...Ni shida
 

Wewe acha upimbi kuolewa ndo unaona dili kubwa?
Unayajua wanayofanyiwa huko ktk ndoa zao au unashangilia tu?
 
Hakuna ubishi kuwa kuna mambo yanayofanywa na wachagga ambayo yanapaswa kuigwa na vivyo hivyo kuna mambo ambayo hayapaswi kuigwa. Ya kuigwa ni kama;

  • Kurithisha watoto Elimu bora popote inapopatikana,
  • Kutafuta fedha na usitawi,
  • Kujenga nyumba vijijini watokako,
  • Kukumbuka vijijini mara moja kwa mwaka,
  • Kushirikiana katika ujasiriamali wa biashara,
  • Kudumisha mila kwa kuoa mke/wake wa kichagga au wenye mchanganyiko(root) wa kichagga n.k.
Hii inaweza kuwa imesababishwa na 'kupendelewa' na wakoloni huko mwanzo-mfumo kristo??

Yasiyofaa kuigwa na yanayofanywa na baadhi yao:

  • Kufadhili/kufanya uharamia/ujambazi
  • Kufanya ufisadi nafasi inapotokea,
  • Kusafisha hela haramu,
  • Kuzima/kupiga wengine pale fursa inapotokeza,
  • Kuuwa/kusababisha mauaji pale inapobidi,
  • Ubaguzi?? wa wasio Wachagga??- (I stand to be corrected..)
 
Wewe acha upimbi huo!
Wachaga hawana akili zozote za maisha ni ushirikina tu nakwambia nenda Rombo kahesabu idadi ya matahira kule. Utashangaa

Ushirikina wamekulogea mwanao? Akili za kuambiwa changanya na zako mtatoka mipovu lakini awali ni awali tu karibuni vijijini mje mchukue mifano ya kendeleza kwenu sisi hatuna wivu wa kijinga kama nyie eti kijana akijenga kanyumba ka bati kijijini hamkawii kumpumzisha kabla hata nyumba hajaikalia mtabaki kucheza bao tu na kuangali fulani kanya hivi mara yule kafanya vile na vikombe vyenu vya mabaki ya kahawa.
 
Kwa kuwafanya watoto mandondocha na kuuwa kwa mtutu hilo ni lao na hawataacha kamwe!
Pia wanaabudu jani la salee kama mmea wenye miujiza, kitendo ambacho ni machukizo kwa Mungu.
 
nlisoma kwenye encylopedia kwamba chagga ni kabila celebrity bongo
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.

Tuache wivu wa kijinga tujifunze kwa hawa jamaa na hakuna ubishi!
 
Kwa kuwafanya watoto mandondocha na kuuwa kwa mtutu hilo ni lao na hawataacha kamwe!
Pia wanaabudu jani la salee kama mmea wenye miujiza, kitendo ambacho ni machukizo kwa Mungu.

Hujui usemalo na uliza kabla ya kukurupuka!
 
Wewe acha upimbi kuolewa ndo unaona dili kubwa?
Unayajua wanayofanyiwa huko ktk ndoa zao au unashangilia tu?

Wewe ulitaka wafanyiwe nini? Kawasaidie kupigwa mti. Mwanamke anaenda kwa mwanaume kwa kazi moja tu. kwani walikuambia dudu inauma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…