Tuige hii desturi ya wachaga

Wachaga mpoo!!!... mti wenye matunda ndio unaopigwa na mawe siku zote, wataelewa tu.
 
Maskini kweli wachagga uwajui,tunaishi nao hapa sakina,nadhani wanaongoza kwa ulevi,wanakunya pombe mpaka wanatia kichefuchefu,mtoto anafundishwa kunya pombe akiwa na miaka 3 tu.pia wana tamaa,akikucheki unazo atakutafutia mbinu za kukunyanganya chochote ulichonacho.wapeleleze vizuri utawajua vyema.
 

acha uongo we hayaland penye mazuri tukubali walikunyang'anya nini na kwanini watu hawashtaki hamna binadamu asiye na tamaa sema zinatofautiana sasa mwingne anywe pombe uckie kichefuchefu huo si upuzi harusi sio yako wavaa shela si majanga haya ulivo muongo hamna mtu anayefundisha mtoto kunywa pombe umeandka kichuki na ki feelings kuliko uhalisia wa mambo wale nao ni binadamu acha wivu we mhaya haujeng iga mazuri mabaya uache
 

aaaaaah kumbe na wewe binti sayuni ni toto la kichagaz.
 
"Wachaga huwa hawakeshi kwenye mabaa wakilewa chakali. Hawana utamaduni huo hata kidogo."

mmh, basi mie nawajua wachaga wa kichina.

cc Asprin

Mleta mada kavurugwa sio sir hakuna walevi tanzania km wachaga
 
Last edited by a moderator:
Acha uvivu fanya kaz si uchawi mangi eeeh watu wanapiga kazi babangu
 
 

mkuu, wananyea chooni au sebuleni?
 
Rombo mbali sana SPANISH CP hapohapo town nenda maeneo ya mtaa wa rau madukani, old moshi na maeneo ya kcmc asee yani wanafanya matairo watoto wao /ndugu zao asee laivu kuna duka fullani ukienda hapohao mtaa wa old moshi dah! duka limejaa halafu pembeni kuna dogo ni tahira jinsi anavyoongea anatia huruma yani. Haya sasa pita maeneo ya primary ukitokea huu upande wa chuo cha ushirika kuna nyumba moja kali kinoma na huwa hapo ndani naona kuna kitu cha verosa na escudo. Asee kuna kuna dogo yani akiiongea ni mate i mean maudenda yanamtoka yani ameshafanywa mali aka ndondocha du yani nilishangaa ikabidi nimuulize mshkaji fulani koz mi nlikuwa bado ni mgeni nlikuwa ndo pale chuoni mwaka wa kwanza akaniambia yaani watu wengi humu unaowaona na mageti magari makali na manyumba humo ndani mna matahira therefore nakubali hawa jamaa ndio wateja wakubwa wwa waganga/uchawi so cheza nao mbali coz mbele ya pesa hawana huruma arifu.
 
Kwa kuwafanya wenzao ndondocha na ramani za wizi au?Nakuuliza miley arifu!Maana tuongee ukweli asilimia 70% wa njia ya utafutaji mali wanayo itumia ni .......sio ya halali arifu asee.

Njia za ujambazi
Ni wateja wa kubwa wa ushirikina
Dah!Ngoja nka chanje zangu gomba niingie job arifu hapa ni blezman from ungalelooooo
 

wala sishangai kumbe haya maneno ya mlevi,.
 

Inawezekana mambo ya kichawi yanahusika.
Ila pia kuna shida ya wachagga wa enzi hizo kuoana koo zilizo karibu karibu, baadhi wanaendelea hadi leo. Matokeo yake ndo hayo kupata watoto wenye matatizo hasa ya viungo na mtindio wa ubongo.
 

Wachagga wengi wana hustle sana na pia wengi wao hawaina inda kuenda isivyo halali. Kwa sisi tulioishi arusha/moshi kwa miongo kadhaa (tofauti na mleta mada ambae amekaa arusha wiki 2 na amejua desturi nzuri za wachagga hadi za urithi-AJABU!!), tunafahamu namna wengi wao wameshiriki biashara za magendo mipakani na ilifikia hadi kuua askari wanaowafatilia.

So, kama waungwana wanavyosema, ukipenda sifa ukubali na kukosolewa pia. Wachagga ni zaidi ya wanavyopenda wasikike. Mabaya yao hawataki yaandikwe ilhali ni binadamu tu. Kama taifa, mazuri toka kabila lolote yaigwe, mabaya yakemewe kwa nguvu zote ili tuwe na jamii zilizostaarabika na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…