Tuige mfano mzuri wa Wajapan kuhusiana na imani za dini

Tuige mfano mzuri wa Wajapan kuhusiana na imani za dini

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami.

Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa na welewa kama huu hizi chuki za kidini zingetoka wapi.
 
Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa na welewa kama huu hizi chuki za kidini zingetoka wapi.
Japan ni polytheistic society wakati Waafrika monotheistic wa kuchovya, wanasema wanamuani mungu mmoja lakini wanaenda kwa waganga, wanazingatia baadhi ya mila zao pamoja na kufanya matambiko.
 
Aisee yani bora ungenyamaza pale magomeni pamekushinda.

Wenzetu mataifa yao hakuna makande.Sio wewe mara unataka kuwa upepo gani.
 
Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa na welewa kama huu hizi chuki za kidini zingetoka wapi.
Amini Mungu pekee bila kubabaika na wanaoabudu miungu gentleman na Mungu atakubariki sana 🐒
 
Wajapani wanaongoza kwa kujiuwa (suicide) iga na ilo sasa
 
Back
Top Bottom