The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Japan ni polytheistic society wakati Waafrika monotheistic wa kuchovya, wanasema wanamuani mungu mmoja lakini wanaenda kwa waganga, wanazingatia baadhi ya mila zao pamoja na kufanya matambiko.Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa na welewa kama huu hizi chuki za kidini zingetoka wapi.
Amini Mungu pekee bila kubabaika na wanaoabudu miungu gentleman na Mungu atakubariki sana 🐒Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa na welewa kama huu hizi chuki za kidini zingetoka wapi.