Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Tatizo watu wa vijijini watajazana tu.Hiyo nzuri
Hakuna kwenda kwenye hayo matamasha yao
Mjini ndo kuna nyomi huko hata wakienda ni wachacheTatizo watu wa vijijini watajazana tu.
UZURI KIJIJINI HAKUNA SHOW YA 10000 LABDA WAFANYE BUKU2 MWISHO 5000. Pia kijijini wana wasanii wao kama bestnasol huyo hata ukimshindaisha na marioo mario hatoboi!!Tatizo watu wa vijijini watajazana tu.
Nadhani hujaelewa nguvu ya hawa watu katika kusukuma agenda za watesi. Hawa si wabangaizaji kamaunavyosema bali ni watu wanaotumika kuhalalisha maovu ya waliomadarakani. Sijui huelewi nini unadhani wanavyosemaga samia ni moja na nusu wanamaanisha nini? Kuhusu kodi si ndizo zinatumika kuwalipa hao ama unahitaji PhD kuelewa? nakupatia mfano hai uliotokea Marekani hivi majuzi. Kuna mchekeshaji anaitwa Jimmy Kimmel kwa shinikizo la rais Trump shirika ama TV inayomiliki kituo alichokua anafanyia kazi kilitoa hewani kipindi cha Jimmy Kimmel Live. Watu walifanya kampeni ya ku cancel subscription zao na kugomea kufanya biashara nao. Ilichukua muda wa wiki moja mifuko ilipopata pigo walimrudisha Jimmy mpaka leo anapiga show. Kuna wakati Civil disobedience ni jawabu la kuwapiga watesi hasa serikaliKwahio ninaowapa pesa zangu Kodi badala ya kuwawakia hao niwasusie hawa wabangaizaji ambao kwangu wao na mimi ni quid pro quo (wanatoa tune nzuri nasikiliza mbaya naachana nayo) kwa kujinyima pia burudani ?
Nadhani huku ni kuchanganya madesa...
Mimi zaidi ya kusikiliza nyimbo zao (baadhi yao nikiona zinafaa) hawana nafasi zaidi kwangu kwahiyo siku wakianza kutoa makapi nitabadilisha na kusikiliza wengine,Nadhani hujaelewa nguvu ya hawa watu katika kusukuma agenda za watesi. Hawa si wabangaizaji kamaunavyosema bali ni watu wanaotumika kuhalalisha maovu ya waliomadarakani.
Hata wakisema ni watatu na robo hio ni wao na wakiweka hizo story kwenye nyimbo basi sitasikiliza connection yao na kwangu ni sanaa wanayotoa na kama ikiwa mbaya kwangu nitaachana nayo na sio vinginevyo; ingawa kama kuna watu kama Roma na ni wanaharakati nitawaunga mkono kwa uanaharakati wao ingawa sio necessarily tapenda kazi zao (mfano zikiwa mbaya sababu ni wanaharakati) ammunition yoyote taitumia directly kulenga watesi kwa kuonyesha wapi hawapo sawa na sio kupoteza nguvu zangu kwa wabangaizajiSijui huelewi nini unadhani wanavyosemaga samia ni moja na nusu wanamaanisha nini?
Nitaulumu wanaotoa hizo kodi zetu na kuwapa sio wanaopokea hizo kodi kufanya kazi (mfano kutunga nyimbo za kampeni) sababu najua wapo kaziniKuhusu kodi si ndizo zinatumika kuwalipa hao ama unahitaji PhD kuelewa?
Naam hilo ni kosa la Media na kutumia mabavu kwa mwenye mamlaka kumziba mdomo mtu ambaye anaona anamchana / anampinga - Ingawa Mashabiki wa CNN na Democrats wangesema FOX New ifungiwe sababu ni for Republicans ingekuwa sio sawa - To each his / her own; Na ukiona sehemu fulani hapafai au fulani hafai achana naye lakini sio kutaka kumziba mdomo au kushauri aondoke katika sura ya dunianakupatia mfano hai uliotokea Marekani hivi majuzi. Kuna mchekeshaji anaitwa Jimmy Kimmel kwa shinikizo la rais Trump shirika ama TV inayomiliki kituo alichokua anafanyia kazi kilitoa hewani kipindi cha Jimmy Kimmel Live.
Na ndio hapo kwangu mimi cancel cultures na visasi vya huku na kule havifai kuangalia kwangu msanii fulani ni sababu msanii huyo anchotoa kinanifaa / nakipenda kwa wakati huo na sio sababu fikra zangu na anayewaunga mkono zinakwenda sambamba....Watu walifanya kampeni ya ku cancel subscription zao na kugomea kufanya biashara nao. Ilichukua muda wa wiki moja mifuko ilipopata pigo walimrudisha Jimmy mpaka leo anapiga show. Kuna wakati Civil disobedience ni jawabu la kuwapiga watesi hasa serikali
Unatukosea dada japo Kuna kiharufu Cha ukweli kwa mbali πTatizo watu wa vijijini watajazana tu.
Kuna ndugu yangu alikuja mjini, kukatokea mechi ya Yanga akaenda, picha kibaoUnatukosea dada japo Kuna kiharufu Cha ukweli kwa mbali π
Ni Mambo ya kawaida hayo mbona .Kuna ndugu yangu alikuja mjini, kukatokea mechi ya Yanga akaenda, picha kibao
Eti anaenda kuwatambia kijijini kaona wachezaji wa Yanga live.
Mzungu akija huku na kushangaa wamasai tunamuita mtalii wewe ukienda Madrid bila kufika Barnabeu au Barcelona bila kupiga picha pale Camp Nou, unajiona haujafika au Trafalgar Square bila kupiga selfie na njiwa ili uzirushe kwenye social media yako unaona ulipoteza nauli.....Ni Mambo ya kawaida hayo mbona .
Kuna siku nilifika Dar nikapiga picha nje ya geti la taifa alafu na pale mbele ya chuo Cha DUCE kwenye stori na rafiki yangu wa kijijini ticha si ikabidi nimtumie picha ili ahakikishe maana kipindi hicho nilikuwa na maisha magumu kiasi kuwa hakuna ambaye angeamini nimeipata nauli kufika Dar ππ ,Basi nilirudi kila mzee na mwanakijiji nikikutana naye ananipa pole na safari alafu ananiuliza Kama Wana mpango wa kuboresha uwanja au
Hapo bado sijaulizwa Kama nimeonana na wachezaji wakubwa maana wao wanadhani wachezaji wanaishi hapo hapo π
Kwahiyo sikatai kijijini ushamba bado Sana hasa nyanda za juu kusini ila kwa wasukuma sitaki kusema chochote maana mjomba ni mama