Tuige walichokifanya Wakongo waishio Ulaya kwa wanamuziki wa Kongo

Tuige walichokifanya Wakongo waishio Ulaya kwa wanamuziki wa Kongo

Mzungu akija huku na kushangaa wamasai tunamuita mtalii wewe ukienda Madrid bila kufika Barnabeu au Barcelona bila kupiga picha pale Camp Nou, unajiona haujafika au Trafalgar Square bila kupiga selfie na njiwa ili uzirushe kwenye social media yako unaona ulipoteza nauli.....

To each their own..., kwahio unless na wewe utajiona mshamba kwa kupiga picha kwenye Pyramids au Eiffel Tower basi sio vema kumshangaa mshabiki wa Yanga kufika Dar na akataka kutembelea Jangwani na kupiga picha na picha za kina Ken Mkapa au Ahmed Amasha kama zipo.....
Umeninanga na kunisuta kisomi ila ukweli nimeelewa maana Mimi ni msomi pia .
Nashukuru kwa mafumbo yako na kuniita mshamba ,nalisave jina lako Sasa tutaonana wewe jamaa
 
Ndo maana nasisitiza hakuna haja ya kufanya maridhiano na mataahira kama wewe. Serikali ifuate tu sheria kwa watu mnaochochea huu upuuzi. Kuna mjinga mwingine kasema watu wazisusie Simba na Yanga. Hao Combattants hata baada ya Kabila kutoka madarakani bado waliendelea kuzuia shows za wakongo wenzao Ulaya. Sasa hivi wameshatulizwa. Watanzania hawawezi kuiga huo ushenzi.
Tahira namba moja ni yule anayekubali kuwa Mpumbavu bila yeye kutambua na ataendelea kuwa mpumbavu sababu hajui nini maana ya uhuru. Mimi nipo huru sana lakini sikubaliani na wachache waishi kama wao wanaimiliki nchi peke yao. Wakati wa Ukoloni kungekuwepo na wajinga kama wewe nadhani tusingepata Uhuru.
 
Back
Top Bottom