Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Hyo kesi sijaisikia aisee imefunguliwa na nani na lini na katika mahakamani gani?Kesi imefunguliwa ipo mahakamani we unataka zifunguliwe ngapi? Wakenya wako backed up na katiba yao we jitoe ufahamu uone askari wako ambavyo wana akili nyingi yani zitafyatuliwa risasi za moto hakuna atakaye amini
...
Huwez kudai ugali wakati uji ndio unapatikana lazima ukubali kwenda na mazingira yaliopo kwa wakati huoRevolution ya katiba ndio kitu cha kwanza!!
Kesi imefunguliwa imepangiwa tarehe ya kusikilizwa tena nadhani ni Mbeya kama ntakuwa sijakoseaHyo kesi sijaisikia aisee imefunguliwa na nani na lini na katika mahakamani gani?
Hyo ya ak umenipa idea wacha na wengine waje
Kesi iliyopo Mbeya ni ya nini?Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi...
Huyu kilaza sijui anataka kesi gani zaidi ya hiyo?Kesi imefunguliwa imepangiwa tarehe ya kusikilizwa tena nadhani ni mbeya kama ntakuwa sijakosea
Katiba yetu imempa madaraka makubwa Rais unaposikia Rais anakwambia kuna mhimili uliojichimbia chini zaid unaelewa nn? Tafakari. NB; Ugali unaupata pia bila ya uji.Huwez kudai ugali wakati uji ndio unapatikana lazima ukubali kwenda na mazingira yaliopo kwa wakati huo
si uende wewe mahakamani?Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi?
Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani?
Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli, sasa shida ni nini? Hawa wanasheria wanashindwa kufungua kesi ya kupinga serikali kuruhusu DP World kupewa bandari?
TLS, Haki Ardhi, Tume ya Haki, Chama cha Mawakili, Tundu Lissu, Jebra, Kibatala, hawa wote mbona wanashindwa kutusaidia bandari yetu iwe salama?
Revolution ya katiba ndio kitu cha kwanza!!
Kabisa!Watu wanasahau kuwa katiba ya kenya ndio inawapa hiyo chance. Hii ya kwetu bado sana
Mbali na wanasheria wanainchi ndio mahakama ya mwisho ya kusema hapana ×3 ila wako kimya kutokana na ujinga ulopandikizwa na ccm.Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi?
Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani?
Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli, sasa shida ni nini? Hawa wanasheria wanashindwa kufungua kesi ya kupinga serikali kuruhusu DP World kupewa bandari?
TLS, Haki Ardhi, Tume ya Haki, Chama cha Mawakili, Tundu Lissu, Jebra, Kibatala, hawa wote mbona wanashindwa kutusaidia bandari yetu iwe salama?
Halipoi.Kazi ipo