kwanza daima siwezi kubabaika katika yote hata kidogo.
Lakini pia nina ongoza wananchi wenye kila aina ya tabia na utashi. Wapo wanao niheshimu, lakini pia wako wenye dharau, kiburi, ukaidi na majivuno kama wewe tu, lakini hata hivyo nitawafanyaje na ni wananchi wangu?
Siwezi kuwazira, kuwakana, kuwatenga wala kuwakimbia. Ni wananchi wangu na mara zote na hizo hali zao za jeuri mimi ni kiongozi wao na ndio kimbilio lalo. Nami kamwe sintawaacha, nitawasaidia kadiri niwezavyo..
Lakini gentleman,
hata ukiniangalia tu, kweli mimi naweza kubabaika au kukulazimisha uniheshimu kweli na inafahamika wazi una kiburi?🤣
Infact,
Namuheshimu anae niheshimu, asie niheshimu simjali. The end of theory 🐒