Ukishajivua utu wako wa asili ni ngumu sana kupata kuheshimika mkuu, sana sana utaipata heshima ya watu wenye mrengo sawa na wako as akili zenu zinaendana. Ila generally unaonekana mtu below average.kumdharau, kumthamini ama kumheshimu mtu ni utashi wa mtu kulingana na malezi, lakini pia hekima na busara zake katika kutoa hoja, kujieleza na kuskiza wengine,
sasa kama wewe ulitia kiburi kulelewa kwa maadili na wazazi, basi Lazima utashangaa watu kuheshimimiana na kuthaminiana. daima huwezi kua na utashi wa kuheshimu wengine japo sio Lazima pia π
kwanza daima siwezi kubabaika katika yote hata kidogo.Ukishajivua utu wako wa asili ni ngumu sana kupata kuheshimika mkuu, sana sana utaipata heshima ya watu wenye mrengo sawa na wako as akili zenu zinaendana. Ila generally unaonekana mtu below average.
Shuka practical baada ya hiyo theory.kwanza daima siwezi kubabaika katika yote hata kidogo.
Lakini pia nina ongoza wananchi wenye kila aina ya tabia na utashi. Wapo wanao niheshimu, lakini pia wako wenye dharau, kiburi, ukaidi na majivuno kama wewe tu, lakini hata hivyo nitawafanyaje na ni wananchi wangu?
Siwezi kuwazira, kuwakana, kuwatenga wala kuwakimbia. Ni wananchi wangu na mara zote na hizo hali zao za jeuri mimi ni kiongozi wao na ndio kimbilio lalo. Nami kamwe sintawaacha, nitawasaidia kadiri niwezavyo..
Lakini gentleman,
hata ukiniangalia tu, kweli mimi naweza kubabaika au kukulazimisha uniheshimu kweli na inafahamika wazi una kiburi?π€£
Infact,
Namuheshimu anae niheshimu, asie niheshimu simjali. The end of theory π
Kwamba kila mtu atakufa, na anaanza mkubwa (umri) vinginevyo kuwe na janga la kiasili.Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Serikali ya samaki (alisema mama)Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Practically,Shuka practical baada ya hiyo theory.
Acha mambo yako ewe chawa!Practically,
Ni kwamba, mwananchi moja mwenye kiburi kama wewe hapa jimboni, wakati nikiwa kwenye majukumu ya kawaida ya maendeleo, aliwahi kujipendekeza kunisogelea ati anisalimie kwa makwenzi au sijui alitaka kunizawadia makofi,
ghafla kabla hajanifikia, alirukiwa na wanainchi kwa ngumi moja ya maana sana, kama ile ya jamaa aliypigwaga kule Arusha kwenye msafara wa jeneza la hayati Edward Lowasa, nadhani unaikumbuka ile uppercut chembe la kidevu lazma ukae. Ilitrendi sana wakati ule dah π
hiyo ni kwa kifupi zaidi
nakuelewa sana,Acha mambo yako ewe chawa!
Huyu ni samaki aliteuliwa... Yaan Kwa ufupi ni mama yupo anatokea ZANZIBAR, AMEISHA NI MIFUPA TU! ANAONGOZA SERIAKLIMie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya kutokea hai lakini si hai tena. Samaki wengine wadogo hasa huyo wa chini kabisa, hana macho. Yeye analazimika kumfuata mzee wa Ufipa kibubusa.
Nini kinachofuata baada ya Wakili Msomi kugundua ufu wa Mzee wa Ufipa? Mapinduzi? Time will tell.
Karibuni
View attachment 3106045
Wangepita wapi?Mbowe kaachwa peke yake na Wafuasi wachaaaache. Viongozi wote wakubwa hawapo wanaonekana Vidagaa tu kumzunguka.
Bahari ni Blue rangi ya Chama.
Kaki/Majivu ni rangi ya Gwanda lake.
Unamweleza maneno ya hekima mtu asiye na uwezo wa kuyaelewa hayo maneno.Ukishajivua utu wako wa asili ni ngumu sana kupata kuheshimika mkuu, sana sana utaipata heshima ya watu wenye mrengo sawa na wako as akili zenu zinaendana. Ila generally unaonekana mtu below average.