Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Huyu chama huenda si mtu wa kawaida achunguzwe kama anafaa kuchezea hapa vinginevyo arudishwe kwao haraka wampeleke la liga kwa wenzake maana anachofanya bongo ni uonevu na udhalilishaji kwa wachezaji wetu wazawa
 
Huyu chama huenda si mtu wa kawaida achunguzwe kama anafaa kuchezea hapa vinginevyo arudishwe kwao haraka wampeleke la liga kwa wenzake maana anachofanya bongo ni uonevu na udhalilishaji kwa wachezaji wetu wazawa

Wee bwana achana kabisa na boli la ulaya ile level nyingine kabisaaaaaaaaa
 
Angekua anajua ma mamelodi, mazembe, raja casablanca,Esperence yangemshamchukua kitambo.

Chama ni kama nchimbi tu ndio maana wanacheza ligi moja ya wanyonge
 
Ndio ndio maana hata mmakonde bongo anaonekana mkali ila mamelodi alikosa namba akatolewa kwa mkopo.. na hapo nimetaja timu zaidi ya moja tu. Ila umeiona mamelodi tu
Ulitaka nitaje zote?
Kuhusu mkopo sio issue maana hata salah na KDB walitolewa mkopo Chelsea.
Lakini Leo hii kila mtu anaona, so hoja yako ni mfu.
Mfano mwepesi.
Sammata alicheza Simba-mazembe-Genk.
Ko sammata alipokuwa simba, mtu angesema anajua, Umngemwambia wanaojua wapo timu zako ulizozitaja?
 

Simba samatta alicheza miezi mingapi na chama amecheza simba miaka mingapi..

Hata nonda shabani alicheza yanga.. ila haikuzidi miezi sita sababu anajua akaonekana fasta na timu kubwa aftica..

Hiyo ndio tofauti ya anaejua huwa ligi ya bongo amalizi mwaka huku asiyejua anakaa miaka kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…