OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu.
Lile goli lina kila sifa ya kuingizwa katika magoli mazuri kidunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu kama hv kwa Chama sio vipya mkuu, rejea goli la Chama mechi dhidi ya NKANA pale Taifa.
Hii pasi biriani, pasi sambusa, pasi kababu, pasi kachori Kigwangala unaweza kwenda kwa mo ukapewa pikipiki boxer bureeee kabsa Kwa idadi unayotaka!View attachment 1575820
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu
View attachment 1575820 basi tu sina la kusema.
Mimi sijawahi kuona pasi assist kama ile hapa duniani. Halafu Simba hata hawalingi, wanachukulia kawaida tu
Huyu chama huenda si mtu wa kawaida achunguzwe kama anafaa kuchezea hapa vinginevyo arudishwe kwao haraka wampeleke la liga kwa wenzake maana anachofanya bongo ni uonevu na udhalilishaji kwa wachezaji wetu wazawa
Sawaaa mkuu, hajui tumekubali.Angekua anajua ma mamelodi, mazembe, raja casablanca? Esperence yangemshamchukua kitambo.
Chama ni kama nchimbi tu ndio maana wanacheza ligi moja ya wanyonge
Sawaaa mkuu, hajui tumekubali.
Hivi wanaojua wote wapo mamelod?
Ulitaka nitaje zote?Ndio ndio maana hata mmakonde bongo anaonekana mkali ila mamelodi alikosa namba akatolewa kwa mkopo.. na hapo nimetaja timu zaidi ya moja tu. Ila umeiona mamelodi tu
Ulitaka nitaje zote?
Kuhusu mkopo sio issue maana hata salah na KDB walitolewa mkopo Chelsea.
Lakini Leo hii kila mtu anaona, so hoja yako ni mfu.
Mfano mwepesi.
Sammata alicheza Simba-mazembe-Genk.
Ko sammata alipokuwa simba, mtu angesema anajua, Umngemwambia wanaojua wapo timu zako ulizozitaja?