FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Mkuu kama Chama ni takataka basi kule Yanga kuna mavi matupu aiseeMbona unatoa mifano mibovu.. huyo singano tp mazembe ni key player ama role player wa mechi za ligi yao ya congo kupumzisha wachezaji wa maana wasichoke.. singano huwa anaanza starting lineup ya mazembe mechi kubwa za africa?