Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Mkuu kama Chama ni takataka basi kule Yanga kuna mavi matupu aisee

Huo ni ukweli. Hawa wachezaji ni wa ligi yetu tu . Sio level ya esperence, mamelodi, waydad, raja, orlando pirates, kaizer chief ,enyimba, horoya, es etif, zamalek, al ahly etc
 
Utazunguka kote..ila hoja umeielewa.. mchezaji mzuri huwa hachezi ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita.. mfano hai nonda shabaan wa yanga na mbwana samatta wa simba.. mchezaji akizidi miezi sita ama mwaka ligi ya Tanzania ujue hana jipya
Simon msuva anajua au haju?
Kakaa Tanzania miaka mingapi?
Ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya.(soma taratibu uelewe)
Michael Olunga kakaa Kenya miaka Mingapi?
 
Naona hoja ya timu ya Taifa imekufa, ok tuhamie kwenye hoja hii ya pili.
Kwahiyo Unadhani wakiwa na bajeti Kubwa, wanamwaga pesa bila utaratibu?
Kama wanaweza kusubiri kwa mwaka mmoja wakampata bure, kwanini watumie gharama saiv?

Kitu kizuri huwa akifanyiwi ubahiri.. ndio maana ben malango raja casablanca wamemwaga pesa na mazembe na jeuri yao wakakubali... jackson muleka yule alimpiga kanzu pascal wawa taifa.. wamekuja watu na hela mazembe wakakubali kumuuuza.. kwenye hela huwa hakuna jeuri.. na mchezaji mzuri huwa hafanyiwi ubahiri maana timu kubwa zinajua kwamba atawasaidia na hata mbeleni watakuja kumuuza kwa bei kubwa na wao kupata faida mara kibao... ukiona wanakufanyia ubahiri ujue hujui
 
Simon msuva anajua au haju?
Kakaa Tanzania miaka mingapi?
Ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya.(soma taratibu uelewe)
Michael Olunga kakaa Kenya miaka Mingapi?

Msuva hajui ndio maana amekaa tanzania miaka mingi huku wenzake kina nonda shaaban na samatta ni miezi sita tu.. narudia tena mchezaji mkali huwa hakai ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita
 
Nilikuuliza walikuwa na mkataba wa miaka Mingapi? Hujanijibu mpaka Saiv.
Unadhani kwanini chama Hajasaini, anasubiri mkataba uishe?
 
Msuva hajui ndio maana amekaa tanzania miaka mingi huku wenzake kina nonda shaaban na samatta ni miezi sita tu.. narudia tena mchezaji mkali huwa hakai ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita
Vizuri umejipambanua Uelewa wako.( Msuva hajui kwa mujibu wako na anatesa tu Morroco).
Vipi mbona hujajibu kuhusu Olunga?
 
Vizuri umejipambanua Uelewa wako.( Msuva hajui kwa mujibu wako na anatesa tu Morroco).
Vipi mbona hujajibu kuhusu Olunga?

Ushawai kumuona Msuva champions league mechi ngapi.. morocco timu zinazojielewa ni Raja Casablanca na Waydad casablanca.. msuva angekuwa anajua hizo timu za Morocco zingeshamnunua zamani sana tungekuwa tunamuona caf champions league kila siku kama enzi za samatta... ndio maana Raja casablanca mwaka jana walienda mazembe wakamnunua ben malango.. why wasimnunue msuva kama anajua.. timu anayocheza msuva ipo nafasi ya ngapi kwenye rank za caf ?

Hapo ndipo utajua hujui
 
naona jamaa mmoja anawivu wa kidada sana kwenye uzi wa Chama.
 
Naona hoja ya Olunga unairuka Sana vipi huioni?
Msuva team yake inashiriki CAF Confederation....
Na Mara kadhaa amefunga, vipi kuna lingine?
 
Naona hoja ya Olunga unairuka Sana vipi huioni?
Msuva team yake inashiriki CAF Confederation....
Na Mara kadhaa amefunga, vipi kuna lingine?

Olunga simjui ndio maana nimeshindwa kuijibu..

Cheki unavyohama hama... timu kubwa zinashiriki champions league wewe unaongelea shirikisho..

Caf huwa inatoa ranking kila mwaka za timu bora africa haijalishi unashiriki wapi ama haushiriki mwaka huo.. ila ranking huwa wanakuweka.. weka ranking za timu ya msuva ya miaka mitano nyuma tuone kama ni timu ya maana ama magumashi.. si ajabu hata simba na yanga zina rank ya juu kuliko timu ya msuva..

Narudia tena mchezaji bora hakai ligi ya tanzania zaidi ya miezi sita.. ndio maana hata msuva anakuwa boya tu... maana wachezaji bora kuwai kucheza ligi ya tanzania hawakukaa zaidi ya miezi sita na majina nakitajia.. nonda shaban wa yanga na mbwana samatta wa simba... wengine wote waliobaki ni makapi tu
 
Sioni maana ya ubishi triple c maestro ni mali simba na anaisaidia timu kikwel katika kufikisha malengo yetu deal done kwatimu nyingine anaweza asionekane anamaana ila ndo mvp wa ligi ya tz msimu uliopita inatosha kusema tukutane caf wakuu
 
we dogo tuachie uzi wetu tujadili pasi ya Clatous Chota Chama triple C mwamba wa Lusaka muite the brain kama anapiga kumbe anafinya
 
NAOMBA UNIJIBU KUHUSU OLUNGA MKUU HUONI?
Team kubwa hazishiriki Confederation? Mazembe Mara ngapi kashiriki?
As Vita je?
Tuziite mbovu sababu zimeshiriki Confederation?
Hizo ranking kwanini usilete wewe mkuu?
 
we dogo tuachie uzi wetu tujadili pasi ya Clatous Chota Chama triple C mwamba wa Lusaka muite the brain kama anapiga kumbe anafinya

Uzi wenu nawaachia. Ila muache kusema chama ni mchezaji bora kuwai kutokea Tanzania. Hajafikia hata robo ya wachezaji bora kuwai kutokea ligi ya Tanzania nonda shabaan na mbwana samatta.. na sababu ni bora hawakukaa zaidi ya miezi sita timu kubwa zikawanunua
 
NAOMBA UNIJIBU KUHUSU OLUNGA MKUU HUONI?
Team kubwa hazishiriki Confederation? Mazembe Mara ngapi kashiriki?
As Vita je?
Tuziite mbovu sababu zimeshiriki Confederation?
Hizo ranking kwanini usilete wewe mkuu?

Nimekwambia zaidi ya mara moja olunga simjui. Wewe unaemjua ndio unielezee kama huyo olunga alicheza ligi ya tanzania zaidi ya miezi sita ama la?

Caf club ranking hiyo hapo ya mwaka huu.. naomba unitafutie timu ya Msuva ipo namba ngapi

Latest CAF Clubs ranking TOP 30

Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
 
Asa kama Humjui Olunga hapa east Africa wewe ni mtu wa Mpira?
 
Asa kama Humjui Olunga hapa east Africa wewe ni mtu wa Mpira?

Mbona unamkomalia olunga.. nimeshasema simjui.. wewe unaemjua ndie uniambia olunga alicheza miezi chini ya sita kama samatta na nonda au mwaka ligi ya bongo,

Pili acha ujanja ,, usikimbie point nimekuwekea link ya ranking za caf usijifanye hujaiona? Kanitafutie timu ya msuva

Narudia tena mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania zaidi ya miezi sita... msuva na chama wote wa kawaida tu kama nchimbi ndio maana walicheza ligi ya bongo miaka kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…