Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Samatta lyon kacheza muda gani na simba kacheza muda gani? Weka idadi ya mechi za ligi kuu alizozicheza samatta? Chukua za lyon jumlisha na za simba.. weka idadi ya mechi za ligi kuu alizocheza samatta?
Hujui hata samatta african lyon alicheza kama youth career... simba ndio proffessional career yake ya kwanza.. unaujua mkataba wa samatta na lyon ?
Naona unahamisha magoli.. wapi nimemtaja Yikpe katika post zangu ?
Post zangu mifano yangu ni nonda shaban na mbwana samatta ndio nimewataja sana..
Haya tafuta majibu urudi kuipinga hoja ? Samatta simba kacheza miezi mingapi?
Hujaona post nilizomponda hata msuva sio bora wa kutisha.
Kama msuva nimempinga naanzaje kumsifia yikpe
Nadhani hujui unachokitetea, unayakana maneno yako mwenyewe. Kwaiyo kucheza Simba pekee ndio kucheza LIGI YA TANZANIA ?
Ukicheza African Lyon (by then ilikua ligi kuu) unakua HUJACHEZA LIGI YA TANZANIA ?
Unashindwa kutengeneza mantiki kwenye mambo madogo sana mkuu. Samatta amekipiga Lyon tangu 2008, basi sema Lyon ilikua inashiriki LA LIGA, au ligi ya PALESTINA.