Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Samatta lyon kacheza muda gani na simba kacheza muda gani? Weka idadi ya mechi za ligi kuu alizozicheza samatta? Chukua za lyon jumlisha na za simba.. weka idadi ya mechi za ligi kuu alizocheza samatta?

Hujui hata samatta african lyon alicheza kama youth career... simba ndio proffessional career yake ya kwanza.. unaujua mkataba wa samatta na lyon ?

Naona unahamisha magoli.. wapi nimemtaja Yikpe katika post zangu ?

Post zangu mifano yangu ni nonda shaban na mbwana samatta ndio nimewataja sana..

Haya tafuta majibu urudi kuipinga hoja ? Samatta simba kacheza miezi mingapi?

Hujaona post nilizomponda hata msuva sio bora wa kutisha.

Kama msuva nimempinga naanzaje kumsifia yikpe

Nadhani hujui unachokitetea, unayakana maneno yako mwenyewe. Kwaiyo kucheza Simba pekee ndio kucheza LIGI YA TANZANIA ?
Ukicheza African Lyon (by then ilikua ligi kuu) unakua HUJACHEZA LIGI YA TANZANIA ?
Unashindwa kutengeneza mantiki kwenye mambo madogo sana mkuu. Samatta amekipiga Lyon tangu 2008, basi sema Lyon ilikua inashiriki LA LIGA, au ligi ya PALESTINA.
 
Angekua anajua ma mamelodi, mazembe, raja casablanca,Esperence yangemshamchukua kitambo.

Chama ni kama nchimbi tu ndio maana wanacheza ligi moja ya wanyonge
Huna hta maendeleo yyte. Do you know the reasons? UNA WIVU WA KIJINGA
 
Nadhani hujui unachokitetea, unayakana maneno yako mwenyewe. Kwaiyo kucheza Simba pekee ndio kucheza LIGI YA TANZANIA ?
Ukicheza African Lyon (by then ilikua ligi kuu) unakua HUJACHEZA LIGI YA TANZANIA ?
Unashindwa kutengeneza mantiki kwenye mambo madogo sana mkuu. Samatta amekipiga Lyon tangu 2008, basi sema Lyon ilikua inashiriki LA LIGA, au ligi ya PALESTINA.

Wapuuzi kama nyinyi mnaobishana bila data . Dawa yenu evidence tu.. haya bishana na wikipedia.. jiulize kwa nini lyon haijawekwa group la senior career hapo huku simba imewekwa..

Kisha uweke na cv ya chama tuone kama simba yupo kama youth career ?

Hujui hata hiyo lyon alicheza nayo daraja la ngapi na wala kwa mkataba ama status gani ? Huelewi hata maana ya amateur status wala youth career,

hujui kuna kitu kinaitwa amateur status in sports ? Kwa taarifa yako Samatta wa lyon alikuwa ana amateur status huku wa simba alikuwa hana amateur status..

sasa tuwekee chama tujue hapo simba ana amateur status na yupo simba kama amateur katika youth career ?

Weka cv ya chama tuone ndipo utajua senior career yake alivyojaa ligi za uswahilini miaka kibao kuonesha hajui mpira.. wenzake senior career hawachezi ligi za tanzania zaidi ya miezi sita... yeye ana miaka kibao
 
Attachments

  • Screenshot_20200922-080835_Firefox.jpg
    Screenshot_20200922-080835_Firefox.jpg
    102.8 KB · Views: 1

we linyani lini unarudi msituni maana naona unabwekabweka bila kuweka hoja ya maana.
Lazima mkubali nyinyi hamna pesa ya kuweza kushindana na Simba ndio maana tuliwapora Kagere, Luis na Bwalya hata Bernad Moriso tuliwanyang'anya hivyo tulia dawa ikuingie.
Mliwataka Shibob na Deo Kanda ambao tumewaacha dau likawashinda halafu unakuja hapa na data zako za kiutopolo.
 
Wapuuzi kama nyinyi mnaobishana bila data . Dawa yenu evidence tu.. haya bishana na wikipedia.. jiulize kwa nini lyon haijawekwa group la senior career hapo huku simba imewekwa..

Kisha uweke na cv ya chama tuone kama simba yupo kama youth career ?

Hujui hata hiyo lyon alicheza nayo daraja la ngapi na wala kwa mkataba ama status gani ? Huelewi hata maana ya amateur status wala youth career,

hujui kuna kitu kinaitwa amateur status in sports ? Kwa taarifa yako Samatta wa lyon alikuwa ana amateur status huku wa simba alikuwa hana amateur status..

sasa tuwekee chama tujue hapo simba ana amateur status na yupo simba kama amateur katika youth career ?

Weka cv ya chama tuone ndipo utajua senior career yake alivyojaa ligi za uswahilini miaka kibao kuonesha hajui mpira.. wenzake senior career hawachezi ligi za tanzania zaidi ya miezi sita... yeye ana miaka kibao

Umeaongea mambo meengi mazuri, ikiwemo kuwaita wengine wapuuzi, lakini mambo hayo mengi na mazuri bado hayaelezi kwamba SAMATTA amecheza LIGI YA TANZANIA kwa miezi isiyozidi SITA.

Njoo na matusi zaidi, kashfa zaidi, hoja zaidi, lakini ili nikuelewe, nipe uhalali wa sentensi yako kwamba Samatta amecheza ligi ya TANZANIA kwa chini ya miezi sita.
And by the way naishia hapa kujadiliana nawewe. Tukubaliane kutokubaliana, wewe amini kwamba Chama si bora, mimi niamini vinginevyo.

Hilo tu mkuu.
 
Mpira ni mchezo wa wazi vitu alivyofanya Chama kila mtu ameona hao wanaompinga ndio walewale waliokuwa wanamshangilia Mwakalebela aliposema utopolo wanamsajili Chama hayo mengine ni wivu tu
 
Wapuuzi kama nyinyi mnaobishana bila data . Dawa yenu evidence tu.. haya bishana na wikipedia.. jiulize kwa nini lyon haijawekwa group la senior career hapo huku simba imewekwa..

Kisha uweke na cv ya chama tuone kama simba yupo kama youth career ?

Hujui hata hiyo lyon alicheza nayo daraja la ngapi na wala kwa mkataba ama status gani ? Huelewi hata maana ya amateur status wala youth career,

hujui kuna kitu kinaitwa amateur status in sports ? Kwa taarifa yako Samatta wa lyon alikuwa ana amateur status huku wa simba alikuwa hana amateur status..

sasa tuwekee chama tujue hapo simba ana amateur status na yupo simba kama amateur katika youth career ?

Weka cv ya chama tuone ndipo utajua senior career yake alivyojaa ligi za uswahilini miaka kibao kuonesha hajui mpira.. wenzake senior career hawachezi ligi za tanzania zaidi ya miezi sita... yeye ana miaka kibao
nimekusoma kuanzia mwanzo mpaka sasa. hakuna cha maana nilochopata zaidi ya kusoma chuki,husda na roho mbaya.utakuja kufa umekenua
 
Huo ni ukweli. Hawa wachezaji ni wa ligi yetu tu . Sio level ya esperence, mamelodi, waydad, raja, orlando pirates, kaizer chief ,enyimba, horoya, es etif, zamalek, al ahly etc
Mpira ni maisha...na maisha hayapo hivyo ndugu...Thomas Ulimwengu anacheza vilabu vikubwa na tunajua uwezo wake ni mdogo...kujua ni kitu kingine na kufanikiwa ni kitu kingine..
Unamfahamu Victor Costa? Haruna Moshi Shabani?
Hao wachezaji unaowabeza waliifikisha Simba robo fainali...na hao unaosema ni
noma walifungwa na Simba tena na hao hao kina Chama...kwenye maisha kuna bahati pia kataa au kubali...ndo mana Sammata anacheza Aston Villa halafu Kama Billiat anacheza Kaiser Chiefs Afrika kusini...we hushangai?
Kolo Toure ndo mchezaji pekee kutoka Afrika kwenda moja kwa moja kucheza EPL (Baclays) yaani alitoka Asek Mimosas akaenda Arsenal moja kwa moja yaani walimkatia kibali cha kuwa mchezaji mwenye kipaji maalumu je ni kweli? (Bahati)
Eliud Ambokile TP Mazembe na hajawahi fikiriwa timu ya Taifa...ushangai tu?
 
Mazembe mwaka huu katolewa na raja casablanca ligi ya mabingwa africa hatua ya robo fainali... niambie eliud ambokile na thomas ulimwengu walicheza dakika ngapi jumla katika dakika 180 ambazo mazembe kacheza na raja casablanca?

Mnataja wachezaji wa benchi wa mazembe ili mumtetee chama kwamba why hajasajiliwa na best club kama yeye ni best

Toa majibu ya mazembe katika ligi ya mabingwa hao kina eliud ambokile wanapataga namba mazembe?
 
Katika mifano niliyotoa hapo umeona hiyo miwili tu...jibu kwanza na hayo mengine ili nami niendelee kwanini nimewataja kina Ambokile....
Usichukue vipande vipande tu mkuu
 
Wengine siwajui zaidi ya huyo toure na ulivyo muongo umemtaja ndie mchezaji pekee africa kutokea africa kwenda straight ligi kuu ya uingereza huku sio kweli.

Acha uongo uongo Peter ndlove alitoka highlander zimbabwe akaenda straight coventry city, Amir Zaki, alitoka zamalek akaenda straight wigan na akawa starter wa wigan.. kuna shawky alitoka al ahly akaenda Middlesbrough, usiwe muongo muongo.. eti toure ndie pekee.. na hapo ukienda google utawapata wengi tu

Kuhusu hao watanzania wa mazembe nawajua ,ndio maana nimejibu naowajua. Haya wewe toa maelezo za majibu ya hoja yangu
 
Wengine siwajui zaidi ya huyo toure na ulivyo muongo umemtaja ndie mchezaji pekee africa kutokea africa kwenda straight ligi kuu ya uingereza huku sio kweli.

Acha uongo uongo Peter ndlove alitoka highlander zimbabwe akaenda straight coventry city, Amir Zaki alitoka zamalek akaenda straight wigan na akawa starter wa wigan.. usiwe muongo muongo.. eti toure ndie pekee.. na hapo ukienda google utawapata wengi tu

Kuhusu hao watanzania wa mazembe nawajua ,ndio maana nimejibu naowajua. Haya wewe toa maelezo za majibu ya hoja yangu
Hujaona Baclays kwenye mabano? au unadhani ni mbwembwe tu hiyo kukaa hapo...unadhani kwanini kimeongelewa kibali? anyways siyo kosa lako..Kama humjui hata Kama Billiat itakuwa ni upotezaji wa muda kudiscuss na wewe kuhusu mpira wa miguu...

Usiku mwema
 
Kwa hiyo zaki na hao niliwataja hawajacheza ligi kuu ya uingereza straight kutokea africa?

Haya jibu hoja za kina ambokile na ulimwengu gemu za caf kama wanapangwa, game ya robo fainali vs raja casablanca kama case study ya mazembe ya kibabe uone nani wanapangwa..

Jitu liongo liongo tu.. eti toure ndie pekee kucheza epl kutokea africa

Eti usiku mwema.. naona unajiunga na wenzako kunikimbia.. watu kibao wamekimbia humu sababu nawapa facts tupu na mkisema uongo tu nawabanjua kwa mifano
 
Muungwana akishtuka kuwa anatembea na binti under age huachana naye....

Usiku mwema kwa mara ya pili.
 
Usiwe muongo muongo zama za internet hizi,,, Zaki katoka zamalek na kujiunga epl...ikiwa baclays premier league

Usikimbie.. nimejibu zako haya na wewe jibu hoja zangu pia

Haya jibu hoja za kina ambokile na ulimwengu gemu za caf kama wanapangwa, game ya robo fainali vs raja casablanca kama case study ya mazembe ya kibabe uone nani wanapangwa.. ama unataka kusema huwa wanakuwa majeruhi ndio maana hawapangwi game za kibabe

Umewai kuona wapi best players wa timu hawapangwi kwenye mechi kubwa za timu yao
 
Usiwe muongo muongo zama za internet hizi,,, Zaki katoka zamalek na kujiunga epl...ikiwa baclays premier league

Usikimbie.. nimejibu zako haya na wewe jibu hoja zangu pia

Haya jibu hoja za kina ambokile na ulimwengu gemu za caf kama wanapangwa, game ya robo fainali vs raja casablanca kama case study ya mazembe ya kibabe uone nani wanapangwa.. ama unataka kusema huwa wanakuwa majeruhi ndio maana hawapangwi game za caf
Ndo mana nimekuuliza unadhani kwanini nimeweka Baclays halafu nikaongelea kibali...kama umeshindwa tu kujua ni kwanini nimeweka yote hayo? Siwezi kujadili huku nakufundisha ni Kazi ngumu sana...tumia hiyo Internet kuongea uelewa badala ya kubishana na Mimi.
 
Mbona hoja zangu unakwepa kuzijibu wakati zako nazijibu kwa evidence,, mifano na majina umeweka mwenyewe hao kina ambokile ila hoja zao unazikimbia

Kuhusu epl, unataka kusema zaki hajacheza Epl ( baclays) kutokea africa ? Ama unataka kusema alicheza bila kuwa na kibali?
 
Back
Top Bottom