Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Jibu lako nimelinyamazia kwa maana wewe huna hoja umejaa na ubishi. Yan unakuja kutoa mfano wa wachezaji waliuzwa wakiwa washachoka wewe ndio unasema waliuzwa wakiwa top class, hiv kweli top class player anaweza kutoka man u kwenda fernabance uturuki af unataka ujibiwe, Rodney wakati anauzwa kwenda evarton alikua kwenye ubora wake kweli?

Ndio maana nimekwambia watu wanakukimbia sababu ya ubishi wako usio na tija af wewe unadhani ni sifa. Mimi mwenyewe na mwisho wangu kukujib
 

Kwa hiyo chama ndie top class zaidi ya rooney ama van persie ?
 
Hao wote uliotaja walimaliza mikataba Yao wengi wao na timu iliwaacha kutokana na changamoto ya umri lkn kipindi wapo kwenye ubora wasingeuzwa acha ubishi ww
 
Kwa hiyo chama ndie top class zaidi ya rooney ama van persie ?
Zilongwa mbali zitendwa mbali,,, ulichojaaa ww ni roho mbaya na chuki kwani yeye kakwambia chama na roney mzuli Nani? Ila chama huyo huwezi kumfananisha na mchezaji yoyote pale yanga. Kinachokukera ww kwa kuwa tu chama yuko simba
 
Washabiki wa simba kuwakata nyodo hawa yanga safari hii chama hela ya usajili asipewe na klabu bali washabiki wa simba kuonyesha heshima kwake ni swala la kujiorganised maananutopolo ninkama wachawi wanajifanya wanamponda huku rohoni wanamtamani
 
Mnapoteza mda kubishana na huyo Jamaa....
Mje mkiwa hamna kazi za kufanya.
1.Mpira haujui, mbabaishaji.
2.Shabiki maandazi, pinga pinga (yeye kitu kikiwa upande wa pili hawezi kikubali)
3.Anadhani anajua sana (Mazingira anayo ishi yeye ndo mjuzi).
Uzi umekwiasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…