Jibu lako nimelinyamazia kwa maana wewe huna hoja umejaa na ubishi. Yan unakuja kutoa mfano wa wachezaji waliuzwa wakiwa washachoka wewe ndio unasema waliuzwa wakiwa top class, hiv kweli top class player anaweza kutoka man u kwenda fernabance uturuki af unataka ujibiwe, Rodney wakati anauzwa kwenda evarton alikua kwenye ubora wake kweli?
Ndio maana nimekwambia watu wanakukimbia sababu ya ubishi wako usio na tija af wewe unadhani ni sifa. Mimi mwenyewe na mwisho wangu kukujib
Ndio maana nimekwambia watu wanakukimbia sababu ya ubishi wako usio na tija af wewe unadhani ni sifa. Mimi mwenyewe na mwisho wangu kukujib
Naona jibu la waliouzwa man utd last ten year kina van persie umelikimbia..mbona hujaliongelea huku swali umeuliza wewe mwenyewe?
Kuna mwenzako alitoa mfano wa singano yupo mazembe.. nikamwambia hayupo mazembe ameshatolewa kwa mkopo sababu hajui mpira kama chama na hana namba mazembe.. kakimbia humu hajarudi tena. Yaani hajui hata kama singano ametolewa kwa mkopo?
Kuna mwingine alikuja na mkwara wa uongo kuhusu toure ndie eti ndie mchezaji pekee kutoka africa legue na kwenda epl, nikamuuliza kuhusu zaki wa zamalek na shaky wa al ahly kakimbia
Wewe jibu la man utd naona unaanza kukimbia