Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Jibu lako nimelinyamazia kwa maana wewe huna hoja umejaa na ubishi. Yan unakuja kutoa mfano wa wachezaji waliuzwa wakiwa washachoka wewe ndio unasema waliuzwa wakiwa top class, hiv kweli top class player anaweza kutoka man u kwenda fernabance uturuki af unataka ujibiwe, Rodney wakati anauzwa kwenda evarton alikua kwenye ubora wake kweli?

Ndio maana nimekwambia watu wanakukimbia sababu ya ubishi wako usio na tija af wewe unadhani ni sifa. Mimi mwenyewe na mwisho wangu kukujib
Naona jibu la waliouzwa man utd last ten year kina van persie umelikimbia..mbona hujaliongelea huku swali umeuliza wewe mwenyewe?

Kuna mwenzako alitoa mfano wa singano yupo mazembe.. nikamwambia hayupo mazembe ameshatolewa kwa mkopo sababu hajui mpira kama chama na hana namba mazembe.. kakimbia humu hajarudi tena. Yaani hajui hata kama singano ametolewa kwa mkopo?

Kuna mwingine alikuja na mkwara wa uongo kuhusu toure ndie eti ndie mchezaji pekee kutoka africa legue na kwenda epl, nikamuuliza kuhusu zaki wa zamalek na shaky wa al ahly kakimbia

Wewe jibu la man utd naona unaanza kukimbia
 
Jibu lako nimelinyamazia kwa maana wewe huna hoja umejaa na ubishi. Yan unakuja kutoa mfano wa wachezaji waliuzwa wakiwa washachoka wewe ndio unasema waliuzwa wakiwa top class, hiv kweli top class player anaweza kutoka man u kwenda fernabance uturuki af unataka ujibiwe, Rodney wakati anauzwa kwenda evarton alikua kwenye ubora wake kweli?

Ndio maana nimekwambia watu wanakukimbia sababu ya ubishi wako usio na tija af wewe unadhani ni sifa. Mimi mwenyewe na mwisho wangu kukujib

Kwa hiyo chama ndie top class zaidi ya rooney ama van persie ?
 
Kibao.. wyne rooney, chicharito, evra , michael Carrick, robin van Persie etc etc.. au hao sio top class players? Ila chama ndie top class player?

Ulivyo mpuuzi umechagua man utd tu.. uzi wa wa chama mwafrica ila timu za africa,,al ahly, mamelodi, zamalek, orlando pirates umezikimbia hapo

Na wewe lazima utakimbia.. soma post zangu utagundua watu wangapi wameshanikimbia humu
Hao wote uliotaja walimaliza mikataba Yao wengi wao na timu iliwaacha kutokana na changamoto ya umri lkn kipindi wapo kwenye ubora wasingeuzwa acha ubishi ww
 
Kwa hiyo chama ndie top class zaidi ya rooney ama van persie ?
Zilongwa mbali zitendwa mbali,,, ulichojaaa ww ni roho mbaya na chuki kwani yeye kakwambia chama na roney mzuli Nani? Ila chama huyo huwezi kumfananisha na mchezaji yoyote pale yanga. Kinachokukera ww kwa kuwa tu chama yuko simba
 
Washabiki wa simba kuwakata nyodo hawa yanga safari hii chama hela ya usajili asipewe na klabu bali washabiki wa simba kuonyesha heshima kwake ni swala la kujiorganised maananutopolo ninkama wachawi wanajifanya wanamponda huku rohoni wanamtamani
 
Back
Top Bottom