Tuijadili pasi ya Cloutos Chama Triple C

Mbona hoja zangu unakwepa kuzijibu wakati zako nazijibu kwa evidence,, mifano na majina umeweka mwenyewe hao kina ambokile ila hoja zao unazikimbia

Kuhusu epl, unataka kusema zaki hajacheza Epl ( baclays) kutokea africa ? Ama unataka kusema alicheza bila kuwa na kibali?
Kifupi ni kwamba...ni ngumu kujadiliana na mtu ambaye ukimwambia Samatta anacheza Aston Villa... Yeye anajibu " nitajie kikosi cha kwanza cha Aston Villa na Sammata akiwemo" sasa najiuliza ina maana Bale kuwa kikosi cha pili pale Madrid ndo imekuwa si mchezaji wa Real Madrid?
Nikajiuliza swali la pili hivi huyu anayejipambanua kuvijua vilabu vikubwa na wachezaji wakubwa Africa..inawezekanaje asimjue Billiat?

Majibu niliyopata ni kuachana na huu mjadala kwa maana sitauweza ndugu yangu...tufanye umeshinda au unasemaje?
 
Usiwe muongo muongo zama za google.. mbona maswali yangu kuhusu zaki hujayajibu Kuhusu epl,

Je hii hoja hujaiona?

unataka kusema zaki hajacheza Epl ( baclays) kutokea africa ? Ama unataka kusema alicheza bila kuwa na kibali?

Ulisema uongo kuhusu toure kuwa ndie pekee kwa sababu gani? Kwa nini unasema uongo kuwa toure ndie pekee

Kwa hiyo huyo chama mnaemsifia na wachezaji wa simba wanaokaa benchi wana kiwango sawa? Kisa wote wamesajiliwa simba?
 
Tatizo unang'ang'ana sana ndugu...kwanini usichukue muda kusoma kuliko..kupita Wikipedia na kuja kubisha huku.
Jifunze tofauti ya kibali na kibali maalumu...Jifunze matumizi ya lugha kwa upana wake..kila neno lina maana ndugu..halikai kwa kwa bahati mbaya tu.

Tafadhali sitajibu tena...Asante
 
Mimi nakujibu maswali yako. Wewe kwa nini hutaki kujibu maswali yangu ... ama sababu unajua nimegundua uongo wako

Je zaki hakuwa na kibali cha kucheza epl straight kutokea africa , ila kibali hicho alikuwa nacho toure peke yake?

Tofauti ya kibali cha zaki na toure ama hao kina shaky , ndlovu na waafrica wengine waliocheza epl kutokea ligi za africa ni nini?

Usimbie kama waongo waongo wengine walionikimbia humu toka mwanzo
 
Ushawai kumuona Msuva champions league mechi ngapi.. morocco timu zinazojielewa ni Raja Casablanca na Waydad casablanca.. msuva angekuwa anajua hizo timu za Morocco zingeshamnunua zamani sana tungekuwa tunamuona caf champions league kila siku kama enzi za samatta... ndio maana Raja casablanca mwaka jana walienda mazembe wakamnunua ben malango.. why wasimnunue msuva kama anajua.. timu anayocheza msuva ipo nafasi ya ngapi kwenye rank za caf ?

Hapo ndipo utajua hujui
Asee we jamaa una chuki binafsi na roho mbaya sijaona. Ikiwa msuva umemkataa kwa hoja ya kuwa hachezi raja casablanca huko Morocco, na singano ukamkamkataa kwamba alikikuwa ni mchezaji wa akiba mazembe, basi hata huyo Chama ungemkataa hata angesajiliwa na piretes, ungekuja na hoja ikiwa Chama anajua asingecheza Africa angecheza ulaya, na pia endapo angesajiliwa huko ulaya na timu kama let say km fulham, ungemkataa kwa kisingizio kwamba fulham iko nafasi ya ngapi kwenye ligi, kama hiyo haitoshi hata angesajiliwa na Manchester united ungemkataa pia kwa kusema wanaojua wote wapo Barcelona na Madrid... Punguza wivu na chuki ndugu, au kwa kuwa huyo Chama yuko simba!
 
Chama hana kiwango kikubwa kama mnavyojihamisha . Wachezaji wenye kiwango kikubwa huwa hawachezi ligi ya Tanzania muda mrefu. Mfani hai ni mbwana samatta wa simba na nonda shaabani wa yanga...

Ukiona mchezaji yeyote anacheza ligi ya Tanzania miaka kibao jua hana mpira mkubwa...

Luis miquissone hapa bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi walimuacha ud songo kwa mkopo sababu mamelodi ina watu wanaojua sana.. level yake ya kuujua ni ndogo kulinganisha na waliokuwa wanacheza namba yake mamelodi..

Hoja mnaiamisha hamisha kila mara kulazimisha chama ni exceptional huku ni wa kawaida ndio maana anacheza ligi ya Tanzania miaka kibao..

Kuna jamaa kaja na uongo uongo hadi wa toure humu kwamba ndie muafrica pekee kutokea ligi ya africa kwenda epl.. kaulizwa kuhusu zaki kakimbia ?

Sasa wewe pia usije kimbia tu?

Mbwana samatta na nonda shaaban ndie exceptional player pekee kuwai kucheza ligi ya Tanzania... na kuonesha wao walikuwa wanajua timu za maana ziliwachukua haraka sana..

Unataka kusema ma scout wa timu za maana hawamuoni chama?
 
Wewe nyani kuna kujua na kuendana na mfumo wa timu louis hakuendana na mfumo wa timu au kwa sababu tuliwazidi wakati mnataka kumsajili acha chuki zisizo na maana utazeeka kabla ya wakati wako hao Al haily walikaa taifa, ao vita pamoja na kocha wenu kubaki dar walikaa halafu unajifanya wewe unajua wachezaji hebu peleka utopolo wako huko kusiko takiwa
 
kwa mkopo sababu mamelodi ina watu wanaojua sana.. level yake ya kuujua ni ndogo kulinganisha na waliokuwa wanacheza namba yake mamelodi..
Suala la kuachwa na mamelodi sio hoja kaka, mamelodi wamemuacha khama blliat kaenda chiefs Sasa ebu nambie au chiefs nao wabovu kwa viwango vyetu waafrika kama unaona kuachwa na mamelodi ndo kujua.... Lebese kaachwa na mamelodi kashain chiefs mpaka kaenda mbele. Wewe kinachokusumbua ni uyanga na roho mbaya kwa kuwa Chama yuko simba
 
Kwa hiyo chama nae alikuwa mamelodi... taja umri wa chama na cv yake tuone kama ana club kubwa level za mamelodi , mazembe , raja hata ya bahati mbaya..

Ukweli mnaujua kwamba mchezaji bora hawezi kucheza ligi ya Tanzania muda mrefu... eti mnasema chama ni bora kuliko wote? Mnasahau ligi ya Tanzania imechezwa na mbwana samatta na nonda shaaban.. na kuonesha wao wakaliwwalicheza muda mfupi sana maana timu za maana ziliwabeba.. chama angekuwa anajua timu za maana zingeshambeba pia kama zilivyowabeba kina nonda ama samatta, chama hata lunyamila tu hamfikii..
 
Ila wewe jamaa ni mbishi Sana na ama hutaki kuelewa au unaelewa ila unajifanya hujaelewa. Timu hazifanani malengo na njia za kuingiza kipato.Simba na Yanga hawana malengo ya kuuza wachezaji. Oda wanapata ila hawauzi Kwan wao mtaji wao mkubwa ni mashabiki hivyo wanategemea wawe na kikosi Bora ili waweze kujaza uwanja na kuuza jezi. Azam Wana fan base ndogo hivyo wanategemea kuuza wachezaji ndio maana unaona kila timu ya ligi kuu bara ina mchezaji aliyepitia azam, himid mao walimpeleka misri, chilunda na Farid Spain. Timu chache sana duniani zenye fan base kubwa na kufocus katika kuuza wachezaji.

Nilikwambia Simba na Yanga za siku hizi zinaendeshwa kisomi sio Kama zamani. Mfano siku hizi unasikia tena habari za mchezaji Fulani wa Simba au Yanga kaenda majaribio nje? Unadhan kwanini hawaendi tena Kama ilivyokua kipindi Cha zamani enzi za kina ngasa, boban, Henry Joseph nk? Viongozi washajua hata wakimuuza mchezaji bilioni watapata hasara zaidi kwa kushuka kwa mauzo ya jezi na watu kuingia uwanjani.

Sasa sio kila mchezaji anayebakia Simba au Yanga ana kiwango kidogo kisa hajauzwa timu kubwa.

Kabla hujakua mbishi jitahidi kujifunza focus ya timu mbalimbali itakusaidia sana katika ubishi wako.
Chama hana kiwango kikubwa kama mnavyojihamisha . Wachezaji wenye kiwango kikubwa huwa hawachezi ligi ya Tanzania muda mrefu. Mfani hai ni mbwana samatta wa simba na nonda shaabani wa yanga...

Ukiona mchezaji yeyote anacheza ligi ya Tanzania miaka kibao jua hana mpira mkubwa...

Luis miquissone hapa bongo tunamuona bonge la mchezaji ila mamelodi walimuacha ud songo kwa mkopo sababu mamelodi ina watu wanaojua sana.. level yake ya kuujua ni ndogo kulinganisha na waliokuwa wanacheza namba yake mamelodi..

Hoja mnaiamisha hamisha kila mara kulazimisha chama ni exceptional huku ni wa kawaida ndio maana anacheza ligi ya Tanzania miaka kibao..

Kuna jamaa kaja na uongo uongo hadi wa toure humu kwamba ndie muafrica pekee kutokea ligi ya africa kwenda epl.. kaulizwa kuhusu zaki kakimbia ?

Sasa wewe pia usije kimbia tu?

Mbwana samatta na nonda shaaban ndie exceptional player pekee kuwai kucheza ligi ya Tanzania... na kuonesha wao walikuwa wanajua timu za maana ziliwachukua haraka sana..

Unataka kusema ma scout wa timu za maana hawamuoni chama?
 
Ila wewe jamaa ni mbishi Sana na ama hutaki kuelewa au unaelewa ila unajifanya hujaelewa. Timu hazifanani malengo na njia za kuingiza kipato.Simba na Yanga hawana malengo ya kuuza wachezaji. Oda wanapata ila hawauzi Kwan wao mtaji wao mkubwa ni mashabiki hivyo wanategemea wawe na kikosi Bora ili waweze kujaza uwanja na kuuza jezi. Azam Wana fan base ndogo hivyo wanategemea kuuza wachezaji ndio maana unaona kila timu ya ligi kuu bara ina mchezaji aliyepitia azam, himid mao walimpeleka misri, chilunda na Farid Spain. Timu chache sana duniani zenye fan base kubwa na kufocus katika kuuza wachezaji.

Nilikwambia Simba na Yanga za siku hizi zinaendeshwa kisomi sio Kama zamani. Mfano siku hizi unasikia tena habari za mchezaji Fulani wa Simba au Yanga kaenda majaribio nje? Unadhan kwanini hawaendi tena Kama ilivyokua kipindi Cha zamani enzi za kina ngasa, boban, Henry Joseph nk? Viongozi washajua hata wakimuuza mchezaji bilioni watapata hasara zaidi kwa kushuka kwa mauzo ya jezi na watu kuingia uwanjani.

Sasa sio kila mchezaji anayebakia Simba au Yanga ana kiwango kidogo kisa hajauzwa timu kubwa.

Kabla hujakua mbishi jitahidi kujifunza focus ya timu mbalimbali itakusaidia sana katika ubishi wako.

Tatizo lenu mnaona watu ma bogas sana.. manchester utd ni timu ya soka yenye fan base kubwa sana duniani ila inauza wachezaji. Al ahly , zamalek , orlando pirates zina fan base kubwa sana kuliko simba wala yanga ila zinauza wachezaji.. acha usanii
 
Man u wamemuuza nani wa gharama au top class player ndani ya miaka 10 iliyopita?

Kibao.. wyne rooney, chicharito, evra , michael Carrick, robin van Persie etc etc.. au hao sio top class players? Ila chama ndie top class player?

Ulivyo mpuuzi umechagua man utd tu.. uzi wa wa chama mwafrica ila timu za africa,,al ahly, mamelodi, zamalek, orlando pirates umezikimbia hapo

Na wewe lazima utakimbia.. soma post zangu utagundua watu wangapi wameshanikimbia humu
 
Kumbe watu kukukimbia unaona sifa?Watu wanakukimbia kwa ubishi wako na jinsi nilivyoona mtiririko wewe ni mbishi na unapenda ligi, kimsingi huwezi kumpata mtu wa kubishana. Kizuri ni kwamba ubishi wako hauwezi kubadili kiwango cha chama.

Naona jibu la waliouzwa man utd last ten year kina van persie umelikimbia..mbona hujaliongelea huku swali umeuliza wewe mwenyewe?

Kuna mwenzako alitoa mfano wa singano yupo mazembe.. nikamwambia hayupo mazembe ameshatolewa kwa mkopo sababu hajui mpira kama chama na hana namba mazembe.. kakimbia humu hajarudi tena. Yaani hajui hata kama singano ametolewa kwa mkopo?

Kuna mwingine alikuja na mkwara wa uongo kuhusu toure ndie eti ndie mchezaji pekee kutoka africa legue na kwenda epl, nikamuuliza kuhusu zaki wa zamalek na shaky wa al ahly kakimbia

Wewe jibu la man utd naona unaanza kukimbia
 
Back
Top Bottom