Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Kifupi ni kwamba...ni ngumu kujadiliana na mtu ambaye ukimwambia Samatta anacheza Aston Villa... Yeye anajibu " nitajie kikosi cha kwanza cha Aston Villa na Sammata akiwemo" sasa najiuliza ina maana Bale kuwa kikosi cha pili pale Madrid ndo imekuwa si mchezaji wa Real Madrid?Mbona hoja zangu unakwepa kuzijibu wakati zako nazijibu kwa evidence,, mifano na majina umeweka mwenyewe hao kina ambokile ila hoja zao unazikimbia
Kuhusu epl, unataka kusema zaki hajacheza Epl ( baclays) kutokea africa ? Ama unataka kusema alicheza bila kuwa na kibali?
Nikajiuliza swali la pili hivi huyu anayejipambanua kuvijua vilabu vikubwa na wachezaji wakubwa Africa..inawezekanaje asimjue Billiat?
Majibu niliyopata ni kuachana na huu mjadala kwa maana sitauweza ndugu yangu...tufanye umeshinda au unasemaje?