Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kinyume nyume utawaelewa jamboDuuh....au sina D mbili
Nadhani kuna hoja ya msingi watu wanaohoji wanatakiwa wapewe majibu ya kujitosheleza na au rais ajitokeze hadharani kuthibitisha kuwa tuko naye.Kuna kitu sijaelewa
--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi
--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?
-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali
-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA
Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi
Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi
Samia YUKO wapi, hii ndio hoja ijibiweView attachment 3148633
Yawezekana Mungu ameshaamua ugomvi kati ya Wazalendo na Wananchi.Hizi nyuzi zimekuwa nyingi. Kuna Nini kinatengenezwa huko juu? Wajuvi watuambie
Alipotea baada ya kutudanganya kuhusiana na Makonda. Ameibuka tena na thread zake!Nilijua umepigwa mabomu ya zelensky kumbe upo
Swali la msingi sana 😄Pia je kama akiwa Muislam tutarubusiwa kuaga/Kutoa heshima za mwisho.
Nenda kwenye website na mitandao ya Ikulu utajua yuko wapi na anafanya nini.Kuna kitu sijaelewa
--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi
--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?
-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali
-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA
Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi
Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi
Samia YUKO wapi, hii ndio hoja ijibiweView attachment 3148633
Na awamu hii anaenda kuumbuka tenaAlipotea baada ya kutudanganya kuhusiana na Makonda. Ameibuka tena na thread zako!
Mimi nimenusa mambo mawili au matatu au zaidi kama ifuatavyo...
1. Samia Suluhu Hassan definitely, alikuwa VP aliyepigiwa kura pamoja na mwendazake John P. Magufuli. Huyu yupo hapo kikatiba. Shida kubwa ni mbili tu; Mosi ni Mzanzibari na pili ni mwanamke....
It was a fatal mistake kumpa majukumu ya u - Rais mwanamke kama huyu mwenye sifa hizo☝🏻☝🏻☝🏻..!!
2. Dr. Philip Isidory Mpango kwa sasa ndiye VP. Huyu hakupigiwa kura. Hakuchaguliwa na Rais aliyepo madarakani na hivyo Ibara ya 37 (5) ya katiba ya JMT ya mwaka 1984 inamtupa nje kabisa ya ulingo. Na hapa ndipo ilipo hoja yako.
3. Nahisi pia kuna kitu hakiko sawa kwa Samia Suluhu Hassan (Rais wa mpito wa sasa). Obviously, huyu hastahili kuendelea na nafasi hiyo hata kwa miezi miwili tu mbele iwapo tunaipenda Tanganyika yetu. Ndo swali linakuja kuwa: ITAKUWAJE MAANA VP Dr. Philip Isidory Mpango katiba haimtambui..??
Umeona enher.. yani nyuzi zilizoanza leo zinaelekeza kibla zoteHizi parables mbona zinachanganya ebu fungukeni
Una jambo zito umeliweka nyuma ya ujumbe, kazi kwetu kukokotoaKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
huu uzi ni wa tano kupanda jukwaani. Tueleweshane tu katiba inasemaje kuhusu jambo hiloKuna point unataka kuielezea ila umeificha sana anyway
Pascal Mayalla Allen KilewellaAdvocate Pascal Mayalla, Adv Allen Killewela watatuelimisha kwa jambo hili.