Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Alitusihi tusile mashangazi , bali tufanye kaziKuhusu Ntibazonkiza siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitusihi tusile mashangazi , bali tufanye kaziKuhusu Ntibazonkiza siyo?
😅😅😅sijui kwanini nimecheka.Alitusihi tusile mashangazi , bali tufanye kazi
Kazi tunafanya na mishangazi lazima itafunwe ni mitamu mno.Alitusihi tusile mashangazi , bali tufanye kazi
50.-(1) Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi,Soma Ibara ya 50 (1) & (2)(d).
-Kaveli
TayariHizi parables mbona zinachanganya ebu fungukeni
Nahisi hv karibuni anakuja na kichekesho kingine,😅😅😅sijui kwanini nimecheka.
Yaani yeye katika changamoto zote zinazowakabili vijana wa Taifa hilo ndilo lilomjia la Ku adress.
Mkuu, Tumia Kinga, ukimwi UpoKazi tunafanya na mishangazi lazima itafunwe ni mitamu mno.
😀😄😄😄😄😄Alipotea baada ya kutudanganya kuhusiana na Makonda. Ameibuka tena na thread zake!
Wazuri hawafiYawezekana Mungu ameshaamua ugomvi kati ya Wazalendo na Wananchi.
Tena sanaaMkuu, Tumia Kinga, ukimwi Upo
Ulitaka kuongozwa na bondia ?Kutokana na katiba mbovu , ona Sasa, nchi yetu inaenda kuongowa na mwanariadha,
Japo 1,2 wote walikuwa ni wanariadha
Nzi kufia kidondani ndiyo mwake.Mkuu, Tumia Kinga, ukimwi Upo
Mashujaa lazima wachukue league kuu,Kikubwa awe makamu wa Raisi😂.
Muda wa Chanika na Tabata kisukulu kujengwa zege barabara zote za mitaa bila kusahau flyovers. Tulikaa Kinyonge saana!!!
Sasa kupima UKIMWI kunahusianaje na hiyo picha uliyoweka hapo?Jana nimeenda kupima Ukimwi bahati nzuri hospitali zote zikawa zimefungwaView attachment 3148618
Kidongo chekundu kitaishaMashujaa lazima wachukue league kuu,
Ila ule udongo wenu kama, powder,au ugoro, sijui kama utaisha
Tessa wa HubaOya acheni hizo Kwan bimdash kafa.?