Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Mimi nimenusa mambo mawili au matatu au zaidi kama ifuatavyo...

1. Samia Suluhu Hassan definitely, alikuwa VP aliyepigiwa kura pamoja na mwendazake John P. Magufuli. Huyu yupo hapo kikatiba. Shida kubwa ni mbili tu; Mosi ni Mzanzibari na pili ni mwanamke....

It was a fatal mistake kumpa majukumu ya u - Rais mwanamke kama huyu mwenye sifa hizo☝🏻☝🏻☝🏻..!!

2. Dr. Philip Isidory Mpango kwa sasa ndiye VP. Huyu hakupigiwa kura. Hakuchaguliwa na Rais aliyepo madarakani na hivyo Ibara ya 37 (5) ya katiba ya JMT ya mwaka 1984 inamtupa nje kabisa ya ulingo. Na hapa ndipo ilipo hoja yako.

3. Nahisi pia kuna kitu hakiko sawa kwa Samia Suluhu Hassan (Rais wa mpito wa sasa). Obviously, huyu hastahili kuendelea na nafasi hiyo hata kwa miezi miwili tu mbele iwapo tunaipenda Tanganyika yetu. Ndo swali linakuja kuwa: ITAKUWAJE MAANA VP Dr. Philip Isidory Mpango katiba haimtambui..??
 
Nadhani kuna hoja ya msingi watu wanaohoji wanatakiwa wapewe majibu ya kujitosheleza na au rais ajitokeze hadharani kuthibitisha kuwa tuko naye.

Vinginevyo wakiendelea kuwa kimya na kuhunia watu watazidi kuyakuza na kumfedhehesha rais ajione hapendwi na anaombewa mabaya kitu ambacho kitamuathiri sana psychologically.

Kingine Mshana jr sijaelewa hao wanaoonekana kusherehekea akiwemo hiyo mama wa ushungi wa kufanana na mkulu wa kaya, kipi kinawafanya wafurahie huko Cuba ni wale wa kiswahili au ni mwendelezo ule wa kipindi kile kufirahia kwa kuchinja wanyama na kugida pombe.
 
Nenda kwenye website na mitandao ya Ikulu utajua yuko wapi na anafanya nini.
 

Soma Ibara ya 50 (1) & (2)(d).

-Kaveli-
 
Una jambo zito umeliweka nyuma ya ujumbe, kazi kwetu kukokotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…