Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Namuombea kila mema Raisi wetu mama Samia.....nyie mnaowaza ubaya uwapate nyinyi , familia zenu na koo zenu........haiingii akilini kumuwazia mwenzako mabaya hata kama amekughadhabisha jinsi gani ....every human being deserve to live.
 
Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Huyo wamwonea tu. Wanayoisigina kwa kutoifuta au kuita kijitabu ndiyo wanatakiwa kupewa kesi.
 
Kifo ni Kifo.
 
Sasa unaniambia nisome kitu gani wakati nimezisoma zote hata nim - extract na kukuwekea hapa...?

Wewe si ndiye unatofautiana na mtazamo na uelewa wangu juu ya hiyo ibara..?

Sasa wewe kwa hatua hii ndiye unayepaswa unieleze/unifafanulie kwa kadiri ya uelewa wako contrary na ninavyoelewa mimi...
 
Ni sababu gani hiyo inamnyima Samia stahili za kuendelea kutawala?
Nimesema mara nyingi. Labda huwa huelewi, basi narudia. Ni kwa sababu;

1. Ni Mzanzibari. Aende akawe Rais huko kwao Zanzibar. Urais wa Tanganyika ni kwa ajili ya Watanganyika

2. Ni mwanamke. It's a fatal mistake to let a woman kuongoza nchi ktk level ya u - Rais...!!

## Na wewe unadhani ni sababu zipi hasa unafikiri zinamstahilisha. Je, ni kwa sababu ya huu muungano fake na wa kihuni..?
 

1. Kuhusu VP kurithi kiti cha Urais kinapokuwa wazi... nioneshe Ibara inayoelekeza kwamba VP atakayerithi urais ni aliyekuwa mgombea mwenza wa Rais kwenye uchaguzi mkuu, kwamba alipigiwa kura.

Onesha hiyo Ibara. Tuanzie hapo kwanza.

-Kaveli-
 
Kwa mujibu wa katiba makamu wa rais ni makamu wa rais bila kujali kapatikanaje, hivyo anabeba sifa zote kikatiba
 
Kuna mtu kule twitter/X ameku quote na kuanzisha mhadala kama anaku oppose.
Kwa mantiki yake nilivomuelewa.
 
Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.

Na CCM inakataa kukubali kuwa katiba yetu ina madhaifu makubwa, suala la reforms la katiba ni lazima kwa ustawi wa nchi otherwise tutakuja kuumizana sana huko mbeleni, hili suala sio la kiupinzani bali la kitaifa, Mwalim was not smart enough kuweka katiba inayo reflect 500 years to come , he was low vision man

USA iliachana na biashara ya utumwa kwa kuelewa kuwa huko mbeleni hawa watumwa wata amka, wakiamka tutapata shida kudeal nao…… wakaachana na mambo ya utumwa

Pale CCM anahitajikq mtu smart snaa anaeweza ku sniff danger in 100 years to come

tukiendelea na hii katiba iliyokosewa tangu mwanzo

With education with ever changing world, CCM na hao polisi zitaahindwa ku deal na raia walioelimikq na wenye maono

Tutamwaga dam zaidi ya Nairobi

We need as CCM , to accept change

Anyway
 
Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Ibara ya 50 imejibu swali na nimeiweka hapa.

Tatizo umesoma?
 
Kulikoni mbona hii wiki kuna mjadala mwingi sanna kuhusiana na whitehouse
 
unasema Dr Mpango hakupigiwa Kura Wala hakuchagukiwa na Rais aliyepo, sasa amepataje u VP, mbona Kama nasikia " harufu ya samaki"
 
Kiongozi katiba sio Siri weka kifungu na sisi tusome
Watu wengi wanaosema katiba katiba bila kuweka vifungu wanabumbabumba.

Mimi nimeweka katiba ibara ya 50 inayoonesha makamu wa rais wa kuchaguliwa au kuteuliwa anashika kiti cha rais kikiwa wazi.

Mpaka sasa hakuna mtu aliyepinga hilo kwa kunijibu kwa kuweka ibara ya katiba.
 
Lini makamu wa rais anapigiwa kura ? Hakuna form in picha au jina la makamu wa rais. Abaepugiwa kura ni mgombea urais tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…