Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata F+ nne hauna mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata F+ nne hauna mkuu?
Hapa nachoona ile timu iliyowekwa pembeni inachokoza kuona je uchaguzi unaweza itishwaLabda alipigiwa kura ya ndio na bunge
Huyo wamwonea tu. Wanayoisigina kwa kutoifuta au kuita kijitabu ndiyo wanatakiwa kupewa kesi.Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Kifo ni Kifo.Tatizo la nchi ya Tanzania ni mifumo iliyokosewa tangu mwanzo.
Kinachotokea sasa na kitazidi kutokea ni watu kutafuta wa kumlaumu na kumbebesha lawama mtu mmoja. One person cannot be a sole cause for our problems.
Tatizo la hii nchi ni kila mwananchi kutokuona umuhimu wa kuungana kupigania haki zake.
Tumebakiza kupiga ramli tu na kuombea viongozi vifo. Pathetic
Sasa unaniambia nisome kitu gani wakati nimezisoma zote hata nim - extract na kukuwekea hapa...?1. Hiyo habari ya kwamba "...Makamu wa Rais ili arithi kiti cha Urais ni sharti kwanza awe alipigiwa kura za uchaguzi wa pamoja na Rais aliyepo..." umeipata wapi?
2. Soma tena vizuri Ibara ya 37 (5); kisha
3. Soma tena kwa kutulia Ibara ya 50 (1) & (2) (d).
-Kaveli-
Shule ulienda kusomea ujinga?Anayegombea urais hawezi kugombea bila kuwa na mgombea mwenza. Makamu wa rais lazima atakuwa ameisha pigiwa kura
Nimesema mara nyingi. Labda huwa huelewi, basi narudia. Ni kwa sababu;Ni sababu gani hiyo inamnyima Samia stahili za kuendelea kutawala?
Sasa unaniambia nisome kitu gani wakati nimezisoma zote hata nim - extract na kukuwekea hapa...
Wewe si ndiye unatofautiana na mtazamo na uelewa wangu..?
Sasa wewe kwa hatua hii ndiye unayepaswa unieleze/unifafanulie kwa kadiri ya uelewa wako contrary na ninavyoelewa mimi...
Kwa mujibu wa katiba makamu wa rais ni makamu wa rais bila kujali kapatikanaje, hivyo anabeba sifa zote kikatibaKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Kuna mtu kule twitter/X ameku quote na kuanzisha mhadala kama anaku oppose.Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Na CCM inakataa kukubali kuwa katiba yetu ina madhaifu makubwa, suala la reforms la katiba ni lazima kwa ustawi wa nchi otherwise tutakuja kuumizana sana huko mbeleni, hili suala sio la kiupinzani bali la kitaifa, Mwalim was not smart enough kuweka katiba inayo reflect 500 years to come , he was low vision manTatizo la nchi ya Tanzania ni mifumo iliyokosewa tangu mwanzo.
Kinachotokea sasa na kitazidi kutokea ni watu kutafuta wa kumlaumu na kumbebesha lawama mtu mmoja. One person cannot be a sole cause for our problems.
Tatizo la hii nchi ni kila mwananchi kutokuona umuhimu wa kuungana kupigania haki zake.
Tumebakiza kupiga ramli tu na kuombea viongozi vifo. Pathetic
Ibara ya 50 imejibu swali na nimeiweka hapa.Katiba yetu ni bubu, katiba ya hovyo hovyo , haina jibu la hilo swali ndio maana kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuirusha juu katiba kisha kuikanyaga kanyaga na kupewa kesi ya kusigina katiba.
Kulikoni mbona hii wiki kuna mjadala mwingi sanna kuhusiana na whitehouseKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
unasema Dr Mpango hakupigiwa Kura Wala hakuchagukiwa na Rais aliyepo, sasa amepataje u VP, mbona Kama nasikia " harufu ya samaki"Mimi nimenusa mambo mawili au matatu au zaidi kama ifuatavyo...
1. Samia Suluhu Hassan definitely, alikuwa VP aliyepigiwa kura pamoja na mwendazake John P. Magufuli. Huyu yupo hapo kikatiba. Shida kubwa ni mbili tu; Mosi ni Mzanzibari na pili ni mwanamke....
It was a fatal mistake kumpa majukumu ya u - Rais mwanamke kama huyu mwenye sifa hizo☝🏻☝🏻☝🏻..!!
2. Dr. Philip Isidory Mpango kwa sasa ndiye VP. Huyu hakupigiwa kura. Hakuchaguliwa na Rais aliyepo madarakani na hivyo Ibara ya 37 (5) ya katiba ya JMT ya mwaka 1984 inamtupa nje kabisa ya ulingo. Na hapa ndipo ilipo hoja yako.
3. Nahisi pia kuna kitu hakiko sawa kwa Samia Suluhu Hassan (Rais wa mpito wa sasa). Obviously, huyu hastahili kuendelea na nafasi hiyo hata kwa miezi miwili tu mbele iwapo tunaipenda Tanganyika yetu. Ndo swali linakuja kuwa: ITAKUWAJE MAANA VP Dr. Philip Isidory Mpango katiba haimtambui..??
Watu wengi wanaosema katiba katiba bila kuweka vifungu wanabumbabumba.Kiongozi katiba sio Siri weka kifungu na sisi tusome