Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Ibara ya 50 (2)(d) inampa mamlaka Makamu wa Rais aliyeteuliwa (ambaye hakuchaguliwa) kushika madaraka ya rais endapo rais atafariki.

Soma hapa.

50.-(1) Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi, mtu aliyechaguliwa, au kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 37(5), kuwa Makamu wa Rais, bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, atashika kiti cha Makamu wa Rais kwa muda wa miaka mitano tangu alipochaguliwa kuwa Makamu wa Rais.

(2) Makamu wa Rais atashika kiti hicho hadi-
(a) muda wake utakapokwisha;
(b) akifariki dunia akiwa katika madaraka;
(c) atakapojiuzulu;
(d) atakapoapishwa kuwa Rais baada ya kiti cha Rais kuwa wazi;
Mkuu Kiranga, namuheshimu mleta mada maana kuna taarifa za “sponsor” alizowah ziweka huku zilikuwa kweli Tupi… Ila pia naamini Mleta Mada kama amekwisha pita hapa na pale basi anakijua Kitabu hiki cha Christopher Clapham, “Africa and the International System: The Politics of State Survival

sometimes waweza kudhani utawala fulani unakufa au haueleweki kumbe wewe Ndo huelewi!

Asante .
 
Mleta mada anaweza kuwa sawa kwenye jambo moja halafu akawa kakosea kwenye jambo lingine.

Siasa za Afrika zina makandokando mengi na kukosa uadilifu sehemu nyingi, ila bado tunaweza kuzipima kwa kuziweka kwenye mstari wa rula, ceteris paribus, standard temperature and pressure, the rule of law, yani wakati tunajua vurugu zote, tunaweza kusema kuwa hapa mstari ukinyooka panatakiwa kuwa hivi na vile.
 
Watu wamelowa korodani kwa kushushuka huko waliko
Picha sio uthibitisho katika zama za teknolojia kama hizi!!
Tunamtaka afanye ziara ndio tuamini !Tangu tulipodanganywa na majaliwa kuhusu jpm hatuamini mtu!!

Ajitokeze kama Dr mpango aongee ndio tutaamini!!!

Mi saimini picha!
 
Mleta mada anaweza kuwa sawa kwenye jambo moja halafu akawa kakosea kwenye jambo lingine.

Siasa za Afrika zina makandokando mengi na kukosa uadilifu sehemu nyingi, ila bado tunaweza kuzipima kwa kuziweka kwenye mstari wa rula, ceteris paribus, standard temperature and pressure, the rule of law, yani wakati tunajua vurugu zote, tunaweza kusema kuwa hapa mstari ukinyooka panatakiwa kuwa hivi na vile.
Sure mkuu, in short you are right but unanikumbusha mbali sana, Miaka ya nyuma nikiwa pale Pugu secondary, wakati fulani tulikuwa tukizungumzia demokrasia ya kanisa na namkumbuka padri wetu moja ambaye alikuwa mwiataliano.
tulikuwa tunajadiliana mada ya libertas et diaphanum kuliwa na hoja moto moto sana na yeye alisema kwa kifupi, “ hakuna demokrasia ndani ya kanisa kama ambavyo hakuna demokrasia kwenye seriakali Changa za kiafrica!
Kwa kweli sikumuelewa hata kidogo wakati ule Ila kwa sasa ninamuelewa!

😊😊
 
Back
Top Bottom