OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naona umeleta tetesi za kifo kivingine. Akili kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhNilichomuelewa mleta mada ni kwamba alitaka kuleta taarifa fulani,na siyo lengo lake kujadili hiyo ibara ya katiba.
Kwani wameshamtoa kwenye mashine ya kupumulia!!?au Hadi protocol zikamilike!
Kwa comment hii, Uzi.......Kama ikitokea Katiba yetu ipo kimya basi JWTZ wataingia mzigoni kwa muda wakati tunaweka mambo sawa kufanya uchaguzi mpya.
Nyie watu, acheni mambo haya bwana. Si vyema kabisaKwani wameshamtoa kwenye mashine ya kupumulia!!?au Hadi protocol zikamilike!
Huyu mtaka ana records mbaya za umalaya na ulevi wa kupindukia hafaiAnthony Mtaka au George Simbachawene au?
Uchanguzi mpya kwa kijitabuKama ikitokea Katiba yetu ipo kimya basi JWTZ wataingia mzigoni kwa muda wakati tunaweka mambo sawa kufanya uchaguzi mpya.
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Mkuu Kiranga, namuheshimu mleta mada maana kuna taarifa za “sponsor” alizowah ziweka huku zilikuwa kweli Tupi… Ila pia naamini Mleta Mada kama amekwisha pita hapa na pale basi anakijua Kitabu hiki cha Christopher Clapham, “Africa and the International System: The Politics of State SurvivalIbara ya 50 (2)(d) inampa mamlaka Makamu wa Rais aliyeteuliwa (ambaye hakuchaguliwa) kushika madaraka ya rais endapo rais atafariki.
Soma hapa.
50.-(1) Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi, mtu aliyechaguliwa, au kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 37(5), kuwa Makamu wa Rais, bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, atashika kiti cha Makamu wa Rais kwa muda wa miaka mitano tangu alipochaguliwa kuwa Makamu wa Rais.
(2) Makamu wa Rais atashika kiti hicho hadi-
(a) muda wake utakapokwisha;
(b) akifariki dunia akiwa katika madaraka;
(c) atakapojiuzulu;
(d) atakapoapishwa kuwa Rais baada ya kiti cha Rais kuwa wazi;
Mleta mada anaweza kuwa sawa kwenye jambo moja halafu akawa kakosea kwenye jambo lingine.Mkuu Kiranga, namuheshimu mleta mada maana kuna taarifa za “sponsor” alizowah ziweka huku zilikuwa kweli Tupi… Ila pia naamini Mleta Mada kama amekwisha pita hapa na pale basi anakijua Kitabu hiki cha Christopher Clapham, “Africa and the International System: The Politics of State Survival
“
sometimes waweza kudhani utawala fulani unakufa au haueleweki kumbe wewe Ndo huelewi!
Asante .
Picha sio uthibitisho katika zama za teknolojia kama hizi!!Watu wamelowa korodani kwa kushushuka huko waliko
Mmmmmh, je Mkapa hakuwa mnywaji?Huyu mtaka ana records mbaya za umalaya na ulevi wa kupindukia hafai
Sure mkuu, in short you are right but unanikumbusha mbali sana, Miaka ya nyuma nikiwa pale Pugu secondary, wakati fulani tulikuwa tukizungumzia demokrasia ya kanisa na namkumbuka padri wetu moja ambaye alikuwa mwiataliano.Mleta mada anaweza kuwa sawa kwenye jambo moja halafu akawa kakosea kwenye jambo lingine.
Siasa za Afrika zina makandokando mengi na kukosa uadilifu sehemu nyingi, ila bado tunaweza kuzipima kwa kuziweka kwenye mstari wa rula, ceteris paribus, standard temperature and pressure, the rule of law, yani wakati tunajua vurugu zote, tunaweza kusema kuwa hapa mstari ukinyooka panatakiwa kuwa hivi na vile.
Duu basi sawa , kawawa ,malecela, Nyerere wote walikuwa Malaya, so TU enedeleze utamaduni wa wazee wetu, swala la nidhamu ccm ni unafiki TU,Mmmmmh, je Mkapa hakuwa mnywaji?
Je Jk hakuwa Malaya?
Wenye roho za husda wamejulikanaWatu wamelowa korodani kwa kushushuka huko waliko