At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Ni sawa mimi nimezungumzia kuhusu performance itapungua kwa shule za serikali.Kwa nini? Hakuna kitu kama icho we hauoni watoto wanaosoma government schools kwa kiswahili upata shida wanapoingia secondary kuanza kusoma kwa kiingereza, huku wale wa private schools aka English schools wakiyafurahia maisha kwa sababu iyo lugha wamekuwa wakiitumia, au haujui Tanzania waliovizuri kwenye English language wengi ni zao la private schools aka English schools, nenda hata chuo vivyo ivyo
Mkuu ilo ni zao la kuchanganya lugha za kufundishia , sidhani kama mwalimu kasoma kwa kiingereza toka nursery hadi chuo hatashindwa kufundisha kwa kiingereza, wanaosumbuliwa na kufundisha kwa kiingereza ukifanya tafiti utagundua ni zao la shule za serikali walizosoma primary.Hapo utapaswa kubadili mfumo kuanzia walimu.
Walimu wengi hawamudu kiingereza na watafundisha vipi kwa lugha ya Kiingereza.
Hata vyuo vikuu unakutana na wahadhiri ambao kiingereza kinawapiga Chenga kabisa.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Wakikomaa linaanguka hilo ni limbuyu ndani huwa halina kitu ukilipiga kwa nje linaanguka. Usitishwe na huo ukubwa ndani ni vacuum.Hali ilivyoView attachment 1564554
Sema kwa nfsi yako bwasheSisi Walimu wa Tanzania tumemuunga Lissu mkono 100%.
Kama umekaa Ulaya kizazi kipya wote wanajifunza kiingereza..cc Christiano RonaldoKwa dunia ya leo lugha sio kigezo cha kumkwamisha mwekezaji kuwekeza na kupata matokeo chanya. Lissu mwenye amekaa Ubelgiji miaka 3, je alikuwa anaongea kifaransa, ki datchi au kijerumani? Kama unataka kuongea kiingereza au lugha yoyote ile ni juhudi zako mwenye zitakusaidia na utaongea tu.
Hopeless kabisa! Tulishasema Urais wa TZ mtausikia tu. TZ imefika hapa kwa sababu ya kuheshimu lugha yetu na mila zetu! Leo unataka kudharau lugha yetu kwa sababu ya kiingereza. Nchi zote za kiafrika zilizofanywa kama alivyosema mzungu huyu zinamatatizo ya kitamaduni sana tu!
View attachment 1564579
Wewe mwanasaccos hapo Afrika ya Kusini tu wameamua Kiswahili kuingizwa kwenye mtaala wao wakufundishia kwenye shule zao!! Wewe unadharau kiswahili!!
Ila kitumike kiswahili.
Au kuwe na shule aina 3.
Za english medium na kiswahili medium.
Pia Na kama zilizopo sasa.
Alafu tupime ufanisi wa kila medium.
Ongelea reality. Sio uongee ukitanguliza mahaba.English medium zote watajaa watoto wa wapinzani, huko kiswahili medium watajaa watoto wa wanaccm maana huo ccm ni nguvu bila akili.
Ongelea reality. Sio uongee ukitanguliza mahaba.
Kwani sahvi hakuna watoto ambao wazazi wao wako CCM wanasoma private.
Ndo ulichoelewa?Kwa dunia ya leo lugha sio kigezo cha kumkwamisha mwekezaji kuwekeza na kupata matokeo chanya. Lissu mwenye amekaa Ubelgiji miaka 3, je alikuwa anaongea kifaransa, ki datchi au kijerumani? Kama unataka kuongea kiingereza au lugha yoyote ile ni juhudi zako mwenye zitakusaidia na utaongea tu.
Lakini sio uhalisia kila mtu ana kipaumbele chake.Umesema ziwekwe za English & Swahili medium, nikakuambia mgawanyo wa idadi.