At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Ni sawa mimi nimezungumzia kuhusu performance itapungua kwa shule za serikali.Kwa nini? Hakuna kitu kama icho we hauoni watoto wanaosoma government schools kwa kiswahili upata shida wanapoingia secondary kuanza kusoma kwa kiingereza, huku wale wa private schools aka English schools wakiyafurahia maisha kwa sababu iyo lugha wamekuwa wakiitumia, au haujui Tanzania waliovizuri kwenye English language wengi ni zao la private schools aka English schools, nenda hata chuo vivyo ivyo