Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨