Tuiombee sana CHADEMA

Tuiombee sana CHADEMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

20241218_051429.jpg
 
View attachment 3182144
Una shida si bure
 
Mbowe ni pandikizi la Tiss, yupo upinzani kwa 'kazi maalumu.'

Tundu Lissu ni mpinzani wa kweli, ni vyema akaondoka Chadema, nyoka yupo ameingia ndani mwao
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Upo kwenye denial kaka. Hao vita yao ni kubwa na haijaanza leo hao washatishiana mpaka kutoana uhai.
Mbowe ana mtihani wa kuongoza wanachama wasio na hali ya mapambano baada ya ushindi. Kwa kifupi Chadema inaenda kuwa chama cha kawaida.
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Mbona CCM wanapofanya mambo yao hawaihusishi Chadema? Chadema hawana àkili hadi wamtegemee Lucas Mwashambwa kufanya mambo yao?
Tumieni hàta akili zà Erythrocyte au Mmawia kama nyinyi wengine hamnazo, siyo kulàlama eti CCM anawapangià mambo yenu.
 
System haiko tayari kuona Chadema ikiwa na Mwenyekiti Lissu

Na huenda huyo Mbowe akaendelea na nafasi yake hadi atakapo kabidhi chama Kwa mwanaye Dudley
Tumieni system yenu huko Chadema kumpa huyo mnayemwita mara kirusi, pandikizi Lissu kumpa hicho çheo cha Mbowe. CCM anaingiaje kwenye chama çhenye wafuasi dunia nzima?
 
Hiyo ni ishara ya uhai wa chama na ubora wa wagombea wala haihitaji kuombewa.
Kwenye chaguzi panda shuka ni sehemu ya maisha ya siasa, utashangaa baada ya uchaguzi watakuwa wamoja kuliko unavyodhani.
Wanachama wanapaswa kusikiliza na kuchambua hoja kwa makini hatimaye wafanye maamuzi sahihi yenye tija kwa chama na wanachama.
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu[emoji1548][emoji419][emoji375]

View attachment 3182144
Unamuombea Ayatollah
 
Hiyo ni ishara ya uhai wa chama na ubora wa wagombea wala haihitaji kuombewa.
Kwenye chaguzi panda shuka ni sehemu ya maisha ya siasa, utashangaa baada ya uchaguzi watakuwa wamoja kuliko unavyodhani.
Wanachama wanapaswa kusikiliza na kuchambua hoja kwa makini hatimaye wafanye maamuzi sahihi yenye tija kwa chama na wanachama.
Lissu kugombea uenyekiti limekuwa tatizo kubwa nje ya CHADEMA kuliko ndani ya CHADEMA yenyewe
 
Sema tu bas,but inaonesha mwenyekiti Mwenyeji hana nguvu kubwa ya ushawishi ni kheri angemwachia huyu wanaemwogopa CCM ....yule Hana Cha kupoteza,na hakika chama kingepata nguvu Sana

Inaonesha pia mwenyekiti Mwenyeji alikuwa tayari kuachia ila wanaCCM ndani ya vazi la CHADEMA wakaenda kumshawishi agombee ili chama kiendelee kudidimia na waendelee kumfanyia massage maana ni mwepesi kukubali kupoozwa....
Yule mwingine unamtekenya muda huu Tena muda huo huo anaendelea na msimamo wake
 
Back
Top Bottom