Tuiombee sana CHADEMA

Ayatolla Mbowe amekosea kusogeza kete zake sasa anaenda kupigwa SUPA.

Hiki chama ndo kimekufa hivyo, watanzania wameona bora CCM wenye uzoefu na uongozi waendelee kutuongoza sio hawa mchwa wa chadema wasioweza hata kujicontrol😄😄😄wataweza kuikontrol nchi.

CHADEMA NI CUF ILIYOCHANGAMKA!!!

#RIP CHADEMA.
 
Mungu asaidie katika hili afunuliwe kwamba wafuasi wake wanaumizwa na kile kinachoendelea katika siasa zake za ng'atwa pulizwa
Kama ni mkakati wa maridhiano hilo tusahau na kwa vyovyote vile atalindwa kuweza kulifanikisha hilo. Ila Mbowe ni kama wale watoto wenye mpira kipindi tunakua, kikosi anapanga yeye na akitaka kuondoka hata kama n dakika 5 mpira anaweka kwapani anaondoka nao.

Porojo za kujitetea kwake kuhusu alipotoka na aliyoyapitia kwenye chama ndio kazigeuza kama sababu za msingi za kutangaza nia.
 
Mbowe mitano tena😂😂😂
Chadema mnatuvunja Moyo watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…