Tuiombee sana CHADEMA

Kwa nini wapambe wa Lissu hawataki akutane na Mbowe kwenye debe? Yaani Lissu kwa nini apite bila ushindani? Kuna mtu kamuengua Lissu? So yuko kwenye mpambano? Sasa mnalia nini?.
 
Ukitumia akili ya kawaida huwez elewa huu mpango ila lisu anaenda kuwa mwenyekht
 
... kosa la system hapa ni kuona/ku'appreciate' SITUATION ambayo ni 'purely' 'SURVIVAL OF THE FITEST WITHIN CHADEMA'!
Ndiyo maana kulikuwa na mapendekezo hapa Jukwaani miaka ya nyuma, kwamba Nchi inaendelea kuwa masikini kwasababu ya hawa hawa Tiss kufungamana pamoja na kuwalinda Viongozi Wezi/mafisadi na wahuni

Yaani wanaona kabisa Kiongozi aliyepo ni corrupt lakini wanaendelea kuwalinda wakati wanazo nyenzo na njia zote za kuwaondoa.

Sasa wametumika kumlinda Mwenyekiti ili aendelee kumlinda Rais aliyepo ikiwa ni pamoja na kumziba mdomo Makamu wake

Maana Makamu angechukua Uenyekiti, lazima mambo mengi ya Serikali hii yangewekwa hadharani na Wananchi kuhamasishwa kuyapinga kupitia maandamo ya mara Kwa mara
 
Mtoto anaeandaliwa ni James sio Dudley
Ngoja nifatilie habari zake huyo James, huyo Dudley nimemsikia mara nyingi labda kutokana na skendo yake na wafanyakazi wake wa magazeti

Kuna uwezekano wa asilimia 99, wale Wabunge 19 walipelekwa na Mbowe bungeni, na kulikuwa na makubaliano nao

Nina uhakika pia, watasamehewa mapema Mwezi March mwakani kisha kupewa nafasi ya viti maalumu 2025 kupitia hiyo hiyo CDM

Ndiyo maana wanamsapoti Mbowe kwenye nafasi yake ya Uenyekiti
 
Mbowe ni Al Assad wa Chadema, hakuwa na haja ya kusema yote aliyosema jana kama angekuwa na nia ya kutokugombea.

Huyo ameshakuwa tatizo tayari.
Tatizo unafahamu mambo ya dini ile,siasa tuachie sisi!
 
Lissu ana siasa kianaharakati za aina ya Muslim Brotherhood au Jamaa Islamiya, Hamas na Hezbollah..... Chadema na dunia imeshatoka huko.

Kwa sasa chadema ni full fledged taasisi
 
James yupo karibu sana na shughuli za mzee wake pia yupo karibu na wanaharakati

Kwenye wale wabunge wa COVID Mbowe, Mnyika, Kigaila na Wenje wanakua vizuri nini wamefanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…