State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Kama Kepteni na nahodha wa MV chadema wameamua kuizamisha meli.. Je, unafikiri maombi ya abiria yatasaidia???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishamkolea anaona hawezi kuachia kiti.Asali
Kwa nini wapambe wa Lissu hawataki akutane na Mbowe kwenye debe? Yaani Lissu kwa nini apite bila ushindani? Kuna mtu kamuengua Lissu? So yuko kwenye mpambano? Sasa mnalia nini?.Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨
View attachment 3182144
Mtoto anaeandaliwa ni James sio DudleySystem haiko tayari kuona Chadema ikiwa na Mwenyekiti Lissu
Na huenda huyo Mbowe akaendelea na nafasi yake hadi atakapo kabidhi chama Kwa mwanaye Dudley
Fedha Hainaga SimileIshamkolea anaona hawezi kuachia kiti.
Ndiyo maana kulikuwa na mapendekezo hapa Jukwaani miaka ya nyuma, kwamba Nchi inaendelea kuwa masikini kwasababu ya hawa hawa Tiss kufungamana pamoja na kuwalinda Viongozi Wezi/mafisadi na wahuni... kosa la system hapa ni kuona/ku'appreciate' SITUATION ambayo ni 'purely' 'SURVIVAL OF THE FITEST WITHIN CHADEMA'!
Hakika mkuuFedha Hainaga Simile
Ngoja nifatilie habari zake huyo James, huyo Dudley nimemsikia mara nyingi labda kutokana na skendo yake na wafanyakazi wake wa magazetiMtoto anaeandaliwa ni James sio Dudley
KabisaTop layer ya CHADEMA imejaaa mapandikizi ya CCM
Tatizo unafahamu mambo ya dini ile,siasa tuachie sisi!Mbowe ni Al Assad wa Chadema, hakuwa na haja ya kusema yote aliyosema jana kama angekuwa na nia ya kutokugombea.
Huyo ameshakuwa tatizo tayari.
😂😂😂🤣🤣🤣hii kali sanaSiku hizi simuoni kabisa Erythrocyte ku like wala kuunga mkono hoja zako zinazomuunga mkono Lisu. Sijui mna ugomvi gani kaka!!
Umbea na Majungu😂kwani umeongezewa nini tulivyochangia!
James yupo karibu sana na shughuli za mzee wake pia yupo karibu na wanaharakatiNgoja nifatilie habari zake huyo James, huyo Dudley nimemsikia mara nyingi labda kutokana na skendo yake na wafanyakazi wake wa magazeti
Kuna uwezekano wa asilimia 99, wale Wabunge 19 walipelekwa na Mbowe bungeni, na kulikuwa na makubaliano nao
Nina uhakika pia, watasamehewa mapema Mwezi March mwakani kisha kupewa nafasi ya viti maalumu 2025 kupitia hiyo hiyo CDM
Ndiyo maana wanamsapoti Mbowe kwenye nafasi yake ya Uenyekiti
Kama Kepteni na nahodha wa MV chadema wameamua kuizamisha meli.. Je, unafikiri maombi ya abiria yatasaidia??? View attachment 3182164
Lissu ni mzigo ambao hata CCM hautaki hata ukiwapa Bure!Lissu kugombea uenyekiti limekuwa tatizo kubwa nje ya CHADEMA kuliko ndani ya CHADEMA yenyewe