Tuiombee sana CHADEMA

Tuiombee sana CHADEMA

Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144

Yanasomeka vyema machungu yako kama yalivyo ya wengi.

Ila imekaa sawa na kumwambia demu, unajua anakupenda tu, wakati anakutamkia mwenyewe hakupendi, tena hadharani!
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Lissu azidi kujipanga na kusonga mbele, wakati huu sasa ni WA kuanzia kuwashawishi wapiga kura umuhimu wa lissu kwa chadema na mabadiliko.Mbowd kujitoa ni ndoto
 
Kwa nini wapambe wa Lissu hawataki akutane na Mbowe kwenye debe? Yaani Lissu kwa nini apite bila ushindani? Kuna mtu kamuengua Lissu? So yuko kwenye mpambano? Sasa mnalia nini?.
..Kiukweli demokrasia ichukue mkondo wake, tunamuunga mkono lissu tumtafutie kura kwa kuwashawishi wajumbe
 
Chadema ilikuwa inasapotiwa na Diaspora kiuchumi na facilities nyinginezo , hawa watz walijikatia tamaa hawana hela

Hao Diaspora wamemkataa Mbowe sasa Mbowe alivyonyimwa Hekima kaamua Kugombea nafasi ya uenyekiti hii amefanya mistake kubwa
 
Wanapitishwa au wanajipitisha.?

Hiki Chama lazima kifie katika mikononi yake Mbowe .

Hakuna MTU niliekuwa naumuona ni visionary Kama Lipumba Ila mwisho wake amekuwa kibaraka mkubwa wa Ccm .

So Tangu tupate Uhuru hagujawahi kuwa na chama cha upinzani Ila huwa tunapata vyama shiriki na Ccm.
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Mshana wewe huwa ni mkweli kwenye maandiko mengi sanaaa. Hapa umenena.
 
Lissu kugombea uenyekiti limekuwa tatizo kubwa nje ya CHADEMA kuliko ndani ya CHADEMA yenyewe
Sasa kama hakuna tatizo kubwa huko Chadema kwa sababu tundu kagombea uenyekiti kwanini hamkai kimya mkaendelea na huo uçhaguzi?
 
FB_IMG_1734846492453.jpg
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
CHADEMA haina shida, shida ipo kwa watu,watu waliiamini CHADEMA kutokana na watu waliomo, ikifa kitakuja kingine ambacho kitabeba tumaini la watanzania. CUF ilibeba tumaini la watanzania miaka hiyo ilipofika kikomo watu wakaangalia pengine.

Hotuba za viongozi zinaonesha kila mmoja kuna kitu anafaidi ndani ya chama; mmoja anaona demokrasia isiyo na mipaka, mwingine anaona demokrasia yenye mipaka: mwingine anahisi mwenzake ndiyo kikwazo kwa chama kunyanyuka, mwingine anaona tatizo linakuja ndani ya chama.

Watanzania kwa ujumla walioathiliwa moja kwa moja na uwepo wa CHADEMA ama wale ambao kwa namna fulani wanaamini CHADEMA ni msemaji wao wameona na kusikia nani ni CHADEMA na nini ni CHADEMA.

Hii ni nzuri kwa sababu siri zimekuwa bayana. Kura huamua mashindano lakini je kukiwa na rushwa yenye kupofusha macho ama mkono wa chuma kura ni nini kama si kupoteza muda?

Masikini huwa tunasema " wao wanafedha sisi tuna Mungu"
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144
Everything is happening for a reason !
Ilibidi kitu kifanyike ili ijulikane which is which 😳🙄 !

Je bado hamjajua tu which is which ???!
😱
 
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!

Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.

Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.

Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.

Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI

Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨

View attachment 3182144

You are no longer mshana junior, you are mshana senior. Mawazo yako ni sahihi kabisa. Ni wakati wa Lissu!
 
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Hizi zibaki kama hisia for now, Mbowe hayuko smart hivyo, hotuba yake na lugha za supporters wake pia zinaeleza kitu tofauti na hisia zako.

Ukweli ni kwamba siku moja kabla ya Lissu kutangaza nia walikuwa wote HQ ya chama, hadi wapinzani wa Lissu waliShare picha za maboss zao wakiwa pamoja na kuwasifia, ila kesho yake baada ya Lissu kutangaza kumChallenge Mwenyekiti akili zikawaruka.

Hawakutegemea, hata Mwenyekiti hakutegemea.
 
Back
Top Bottom