TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
๐๐๐Ngoja niandae mbegu kabisa maana naona zitaanza kuadimika
unamaanisha haina mbadala?Wababe wa kugeuza "adimu" kuwa fursa: pharmaceutical companies...walijaribu kuzalisha ingredients za bangi kwenye maabara ili watengeneze kidonge wauze kama dawa ya kutuliza mfadhaiko, kuleta hamu ya kula, hamu ya kufanya mapenzi, kutibu maumivu ya hedhi, kuleta uzingativu, nk ( maana kutaja faida za bangi itanichukua wiki naandika) walishindwa wakanyanyua mikono juu. Bangi haina mbadala wake!
Ndio mkuu, kuanzia makampuni ya kutengeneza Pombe, dawa, vinywaji baridi nk wote wamejaribu kuja na bidhaa inayoupa mwili na hasa ubongo stimu "halali" kama ya bangi ili wateke soko kihalali ila walishindwa....coca cola walijaribu hivi karibuni ila bidhaa haikudumu sokoni kama bangi!unamaanisha haina mbadala?
Legalize It...โฆand I will advertise it
Wababe wa kugeuza "adimu" kuwa fursa: pharmaceutical companies...walijaribu kuzalisha ingredients za bangi kwenye maabara ili watengeneze kidonge wauze kama dawa ya kutuliza mfadhaiko, kuleta hamu ya kula, hamu ya kufanya mapenzi, kutibu maumivu ya hedhi, kuleta uzingativu, nk ( maana kutaja faida za bangi itanichukua wiki naandika) walishindwa wakanyanyua mikono juu. Bangi haina mbadala wake!