PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
uyo kocha wao kama amesahau nguo huku mtu amkimbizie haraka akapande ndege huko huko asirudi huku. ni kocha dhaifu kuliko wote, bora hata wabongo wenzetu wangefundisha. unafungwa na swaziland nchi haina mbele wala nyuma, unafungwa na madagascar? hii aibu gani jamaniTanzania soka tumeshindwa,tuhamie kwenye mpira wa magongo
Hivi kuna haja ya kuwa na hii timu ?
Tanzania soka tumeshindwa,tuhamie kwenye mpira wa magongo
Wanaitwa VIDUKU STARS
Na hivi haikuonyeshwa kwenye TV yoyote bora wamefungwa.
Maana hawa TFF wao hela tu