PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
mimi niseme wazi kwamba tatizo ni mfumo wa tff na vilabu,viongozi wa TFF hawana dira wala mipango na mikakati juhu ya kuinua soka la tanzania,wapo kimaslahi, kwenye vilabu ndio balaa hakuna mpira zaidi ya ushirikina,na majungu hakuna mpira wewe fikiria vilabu hivi vinaenda umri wa miaka 50 havina hata uwanja wa mpira?!!! ihi ni haibu haibu hatuwezi kuendelea ikiwa ivi vilabu v2 vikiendelea kuwepo, miaka ya 80 tulipiga hatua kutokana na timu za mashirika kama pamba,